Mpendwa rafiki yangu, Maisha ya ndoa yana dai uaminifu, maisha ya ndoa yakikosa uaminifu yanakuwa hayana maana na kukosa ladha. Wote tunajua kuwa chakula kikikosa chumvi kinakuwa hakina ladha vivyo hivyo katika maisha ya ndoa. Uaminifu unatakiwa kujengewa ukuta, je ukuta huo unatakiwa kujengewa wapi? Ukuta wa uaminifu unajengewa moyoni. Mwanaume au mwanamke hawezi kumzua …
Kabla Hujalala Leo Hakikisha Unafanya Kitu Hiki Muhimu Kwako
Mpendwa rafiki, Huwa tunafanya mengi ndani ya siku na huwa tunachoka na mwili ukichoka dawa yake ni kupumzika hivyo tunapolala tunakuwa tunaupa mwili nafasi ya kupumzika na kukusanya nguvu mpya za kwenda kufanya kazi tena siku inayofuata. Kimsingi huwa tuna aina mbili za akili ambazo ni; conscious mind na subconscious mind. Akili ambayo inafanya kazi …
Continue reading "Kabla Hujalala Leo Hakikisha Unafanya Kitu Hiki Muhimu Kwako"
Kama Unataka Kujua Kama Kuna Watu Wanakufuatilia Katika Maisha Yako Fanya Kitu Hiki
Mpendwa rafiki, Ukitaka kuwajua watu vizuri katika maisha yako basi pata tatizo au mataizo. Kwenye matatizo ndiyo sehemu ambayo itakuonesha una watu wa namna gani nyuma, kama una ndugu, rafiki, jirani au jamaa. Kumbe basi, muda mwingine, changamoto zinatokea iki ziweze kutushepu na kuwa watu bora kama vile vyombo tunavyopikia vikichafuka huwa tunavisugua tena na …
Jifunze Kukomboa Kitu Hiki Muhimu Kwako
Mpendwa rafiki, Ukitembea hata ukiwauliza watu watakuambia siku hizi wako bize sana. Na kweli ukiwaona watu wako bize je uko bize kwa vitu gani? Kuna wengine wako bize lakini bize ya kutozalisha kitu. Wengi tunafurahia kusema tuko bize lakini siyo kuzalisha matokeo yenye tija na ufanisi wa hali ya juu. Tunafanya ili tumalize kazi lakini …
Huu Ndiyo Muda Mzuri Wa Kuuza na Kununua Katika Uwekezaji
Kila mtu anapenda kunufaika na uwekezaji anaofanya au kwa lugha rahisi ni kwamba kila mtu anapenda kupata faida katika kile anachofanya. Maisha ni mchezo na ili uelewe mchezo na kuushinda unapaswa kujua kanuni za mchezo. Vivyo hivyo katika kazi, biashara na uwekezaji lazima ujue kanuni ili uweze kushinda. Muda mzuri wa kununua ni pale ambako …
Continue reading "Huu Ndiyo Muda Mzuri Wa Kuuza na Kununua Katika Uwekezaji"
Haya Ndiyo Majibu Unayopaswa Kuwa Nayo Kwa Mtu Ambaye Hakupendi
Mpendwa rafiki, Kuishi ni ujasiri ni kazi pia, watu wanafikiri kuishi ni kuweka mikono mifukoni na yule ambaye anaweka mikono mifukoni ndiyo maisha yanakuwa yanampiga. Asili ya dunia ni mwendo kila kitu kipo katika mwendo ili uwe na maisha mazuri jitahidi uwe katika mwendo kila siku na siyo vinginevyo, kama hauko katika mwendo maana yake …
Continue reading "Haya Ndiyo Majibu Unayopaswa Kuwa Nayo Kwa Mtu Ambaye Hakupendi"
Uraibu Mbaya Unaokurudisha Nyuma
Mpendwa rafiki, Kila mtu ana ulevi wa kitu fulani na tunaposema kuwa na uraibu ni kuwa na ulevi yaani kuwa addicted na kitu fulani. Kuna ulevi ambao una faida na ambao hauna faida, ulevi ambao unakurudisha nyumba badala ya kukupeleka mbele. Una ulevi wa kitu gani? kuwa na ulevi wa kitu ambacho kinakupa mafanikio makubwa …
Dalili Nzuri Ya Kuonesha Kuwa Unapiga Hatua Za Kimafanikio
Mpendwa rafiki, Kama unafanya mambo makubwa sehemu unayoishi hata kwa wale wanaokuzunguka ni lazima utapigwa vita. Hakuna mtu ambaye anaweza kwenda kumpiga teke mbwa aliyekufa, hivi mtu kwa akili yako unaweza kufanya kitu kama hicho? Kwanini uhangaike na mzoga? Au mti unaopigwa mawe ni ule mwenye matunda, hakuna mtu ambaye atahangaika na mti ambao hauna …
Continue reading "Dalili Nzuri Ya Kuonesha Kuwa Unapiga Hatua Za Kimafanikio"
Miaka Miwili Ya Kuandika Kila Siku Na Mambo Matano Muhimu Niliyojifunza
Mpendwa rafiki, Nilianza kuandika mwaka 2014 katika mtandao wa amka mtanzania na mpaka leo naendelea kuandika. Tarahe mosi October mwaka 2016 nilianza marathoni ya kuandika kila siku ndani ya mwezi mmoja kupitia mtandao wangu wa KESSY DEO. Niliweza kufanikiwa kuandika kila siku ndani ya mwezi mzima na baada ya hapo niliamua kutoiacha safari ya kuandika …
Continue reading "Miaka Miwili Ya Kuandika Kila Siku Na Mambo Matano Muhimu Niliyojifunza"
Hawa Ndiyo Watu Rahisi Kuongozwa Katika Uongozi
Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu ni kiongozi hata kama huongozi watu lakini unajiongoza wewe mwenyewe, tumeshazoea kuona uongozi katika maisha yetu lakini hakun kazi ngumu kama kuongoza watu. Hata katika familia baba na mama ni viongozi lakini kuongoza ni kazi kwa sababu watu wenyewe ambao ni viongozi wanashindwa kujiongoza. Uongozi ni nidhamu kama huna …
Continue reading "Hawa Ndiyo Watu Rahisi Kuongozwa Katika Uongozi"