Rafiki, Tukubali kuwa sisi binadamu tumezidiana , wako ambao wamepiga hatua kubwa katika maisha ya mafanikio na wako ambao hawajapiga hatua kubwa katika maisha yao. Kila mtu akijitathimini anajiona wazi kabisa kama amepiga hatua au la. Nafsi zetu huwa hazisemi uongo, huenda tunaonekana kwa nje tuna mafanikio makubwa lakini kwa ndani hatuna mafanikio. Mtu yeyote …
Continue reading "Mtu Yeyote Aliyefanikiwa Amekuzidi Vitu Hivi"