Hii Ndiyo Injili Inayopaswa Kuhubiriwa Kwenye Mahusiano Yetu

Mpendwa rafiki yangu, Mahusiano yetu yanajengwa na uaminifu. Kama mahusiano hayana uaminifu yanakuwa hayana uhai na watu mara nyingi huwa wanapenda kuanzisha mahusiano mahali ambako pana uhakika. Kwa mfano, wewe umeanzisha mahusiano sehemu gani? yenye uhakika au isiyokuwa na uhakika? Natumaini utakua umeanzisha sehemu yenye uhakika kama unajua hakuna uhakika huwezi kujisumbua hata kidogo. Katika …

Huyu Ndiye Mtu Wa Kumheshimu Sana Kwenye Maisha Yako

Rafiki yangu mpendwa, Zama tunazoishi ni zama zinazohitaji fedha. Kila kitu kinahitaji fedha ili kiweze kwenda mbele. Ndoto zako ulizonazo ili ziweke kukamilika zinahitaji fedha. Una ona ni kwa namna gani fedha ilivyo muhimu? Ukiwa na fedha unaweza kupata kile unachotaka kwenye maisha yako. Hivyo basi, baada ya kuona ni kwa namna gani fedha ilivyokuwa …

Hatua Mbili Za Kuchukua Pale Unapoona Kitu Kinakusumbua

Rafiki, Aliyekuwa mtawala wa Roma na mwanafalsafa wa ustoa aliwahi kunukuliwa akisema, Kama inavumilika, basi vumilia. Na kama haivumiliki basi acha kulalamika. Tuje katika maisha yetu ya kawaida, ni mambo gani yanakusumbua? Najua yapo ambayo yanakusumbua je jiulize yanavumilika? Kama jibu lako ni ndiyo basi vumilia. Vipi kama jambo ulilonalo linakukera na halivumiliki? Na lipo …

Hii Ndiyo Asili Ya Tabia Zote Unazojua

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu anaamka anajikuta anadaiwa milioni kumi. Mwanzo wa kitu chochote ulianza kidogo kidogo. Hakuna mtu aliyezaliwa na tabia fulani ila tabia zote tulizonazo tumezitengeneza sisi wenyewe. Asili ya tabia zote tunazojua ni matokeo ya kuanza kufanya kidogo kidogo na matokeo yake kuja kuwa tabia ya kudumu. Waulize watu wote walioingia kwenye …

Neno La Ushindi La Kujiambia Siku Hii Ya Leo

Rafiki, Maisha yanachosha kama hayana ushindi. Kila mmoja ana hitaji ushindi kwenye kile anachofanya. Tunapoteza hamasa ya maisha kwa sababu ya kukosa matumaini kwenye yale tunayofanya. Leo ninakusihi sana uondoke na neno la ushindi ambalo litakupa hamasa ya kuendelea kufanya kile unachofanya. Neno hilo siyo lingine bali ni kujipongeza kwa yale ambayo umeyafanya hapo nyuma. …

Jinsi Watu Wanavyojitia Nuksi Kwenye Maisha Yao

Mpendwa Rafiki yangu, Tumekuwa ni watu tunaojitia nuksi sisi wenyewe katika maisha yetu. Tunajikatisha tamaa sisi wenyewe. Tunatumia midomo yetu kujilaani badala ya kujibariki sisi wenyewe. Adui yetu mkubwa katika maisha yetu ni sisi wenyewe. Je ni kwa namna gani sasa tunajitia nuksi ? Tunajitia nuksi kwa kujiambia kuwa hatuwezi. Usijiambie huwezi kwani maneno yanaumba …

Hii Ndiyo Mbinu Bora Ya Kutumia Pale Unapoona Gharama Za Maisha Zinapanda

Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu anajua kuwa gharama za maisha zinapanda, na maisha yetu hayawezi kwenda bila kuwa na fedha. Fedha ndiyo mfalme katika zama hizi anatusaidia kuendesha maisha yetu na kulipa bili mbalimbali. Ukiwa mzima unavuta pumzi bure, lakini ukiumwa na hewa ya oksijeni utalipia hospitali, hivyo kwa dunia ya sasa kila kitu kinahitaji …

Ogopa Kuwa Mtu Wa Namna Hii Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Matokeo yoyote unayopata sasa kwa asilimia kubwa ni wewe mwenyewe umechagua kuwa nayo. Wewe ndiyo mchangiaji mkubwa wa kila kitu katika maisha yako. Kwa kuwa wewe ndiyo mkurugenzi wa maisha yako hivyo unatakiwa kuwajibika na maisha yako kwani hakuna anayekosa usingizi kwa sababu ya maisha yako. Kwenye maisha yako unatakiwa kuepuka kuwa …

Ushuhuda Wa Miaka Mitatu Ya Kuandika Kila Siku Na Mambo Matano Ya Kujifunza

Mpendwa rafiki yangu, Safari yangu ya kuandika kila siku kupitia mtandao wa Kessy Deo ilianzia tarehe moja octoba mwaka 2016. Hivyo basi, leo hii namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuandika kila siku bila kuacha tokea mwaka 2016. Kuandika kila siku ni kazi, lije jua au mvua ,kuwepo na changamoto au la lazima makala iende hewani.  Leo …

Kwanini Hupaswi Kumuonea Mtu Wivu Pale Anapopewa Heshima

Rafiki, Falsafa ya ustoa inatufundisha mengi , mwanafalsafa Epictetus katika kitabu chake cha hand book of Epictetus ametufundisha kitu kimoja kizuri ambacho mimi na wewe tunaalikwa kujifunza. Ni kawaida binadamu kuwa na wivu, kwa sababu binadamu wengi wanaendeshwa na hisia kuliko akili. Hatupaswi kuwaonea wivu wale waliofanikiwa kwa sababu vile walivyo jua kuna gharama ya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started