Pale tunapojenga kitu tunatumia nguvu nyingi, fedha nyingi na muda hivyo ukiangalia ni rasilimali nyingi. Lakini pale unapotaka kubomoa kitu ni dakika tu. Kwa mfano, kujenga jina ni kazi, unatumia kila aina za rasilimali lakini kuvunja jina hachukui sekunde. Vivyo hivyo katika kujenga timu, tunapojenga timu tunatumia nguvu nyingi. Na timu ninazozungumzia hapa ni timu …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Cha Kuepuka Pale Unapojenga Timu"