Fedha ni zao la thamani. Na huwa wote tunalipwa kadiri ya thamani tunayotoa sokoni. Kama thamani yako ni kubwa utalipwa zaidi na kama thamani yako ni ndogo utalipwa kidogo. Ni asili ya binadamu kuwa usipopenda kitu chako mwenyewe hakuna atakayekipenda. Tukirudi katika fedha, usipozipenda fedha zako mwenyewe hakuna atakayezipenda.Kumbe basi, kila mtu anaalikwa kuzipenda fedha …
Jinsi Ya Kuwa Mtu Makini Kwenye Maisha Yako
Dunia yetu inahitaji watu makini sana karibu kila eneo la maisha yetu tunahitaji watu makini.Watu wasipokuwa makini mambo mengi yataathirika. Kama hakuna watu makini basi kuna wazembe na hawa wazembe ndiyo wanaoleta madhara katika maisha yetu. Leo tunakwenda kujifunza jinsi ya kuwa makini kwenye kila eneo la maisha yetu. Ipo njia rahisi sana ya sisi …
Continue reading "Jinsi Ya Kuwa Mtu Makini Kwenye Maisha Yako"
Huu Ndiyo Msingi Wa Uzalishaji
Kila mtu ana kitu ambacho anazalisha. Na unapozalisha kitu unapata matokeo ya kile unachozalisha. Iko njia ya kuongeza uzalishaji kwenye kile unachofanya. Na msingi mkuu wa uzalishaji kwenye kile unachofanya ni kuongeza thamani. Kuongeza thamani ndiyo msingi mkuu wa uzalishaji. Kile unachozalisha jitahidi sana uongeze thamani kwa sababu kila mtu anazalisha je wewe unazalishaje? Kafanye …
Kila Sehemu Ina changamoto Zake
Tunapokutana na changamoto huwa tunafikiria kuwa labda ungekuwa unaishi sehemu fulani usingeweza kukutana na changamoto fulani. Kifupi, hakuna sehemu ambayo ni salama au siyo salama. Jinsi unavyoyapokea mambo na kukabiliana nayo ndiyo yanakupa picha. Mtu anaweza kusema, kazi au biashara hii imenichosha hivyo ni bora nibadilishe kwani imekuwa na changamoto kubwa. Hata ukibadilisha kazi au …
Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kinacholeta Ukamilifu Katika Kazi
Asili ya binadamu ni kazi na kazi ni rafiki wa kila binadamu anayependa mafanikio makubwa. Mtu hawezi kupata kile anachotaka bila kuwa na kazi. Kazi inatusaidia kupata kile unachotaka katika maisha yako na siyo vinginevyo. Utu wa mtu ni kazi, ukiwa unafanya kazi na dunia inakuhesimu. Wako watu ambao wanapenda mafanikio lakini hawataki kufanya kazi. …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kinacholeta Ukamilifu Katika Kazi"
Kama Watu Wanataka Kupiga Hatua…
Kila mtu amepewa utajiri wa akili. Na akili hizi tulizopewa ndiyo zina zalisha watu matajiri na masikini. Duniani hakuna mtu masikini bali kuna akili masikini. Akili ikilala mambo yote yanalala. Tunatofautiana kwa jinsi tunavyofikiria mambo, kila mtu anachukilia jambo kadiri ya uelewa wake. Wako wanaoamini kuwa wamezaliwa kuja kufanya kusudi fulani lakini wako wasioamini hivyo. …
Kama Unataka Kuirekebisha Dunia Anza Na Kitu Hiki
Kama unaona baadhi ya mambo katika jamii yako ni mabaya, na unataka kuyaboresha basi iko njia moja nzuri ya kufanya hivyo. Unatakiwa kuwaboresha au kuwabadilisha watu na ili kuwabadilisha watu unatakiwa kuanza na kitu kimoja. Na kitu hicho ni kuanza kuwa bora wewe mwenyewe.Kama tunataka kuwaona wengine wawe bora anza wewe kuwa bora. Kama unataka …
Continue reading "Kama Unataka Kuirekebisha Dunia Anza Na Kitu Hiki"
Watu Wote Wako Sawa Isipokuwa Sehemu Hii
Iko misemo mengi ambayo inathibitisha kuwa sisi binadamu wote ni sawa. Mungu amempendelea kila binadamu kwa kumpa uwezo mkubwa wa akili. Bill Gate naye aliwahi kusema kuwa kuzaliwa masikini siyo kosa lako, Bali kuchagua kuwa masikini ndiyo kosa lako. Kila mtu amezaliwa akiwa hana kitu, jinsi maisha yetu yalivyo ndivyo tulivyojichagulia kuishi. Juhudi zako ndiyo …
Hili Ndiyo Jaribio La Mtu Mwenye Upendo
Karibu dini zote duniani zinasimamia falsafa ya upendo. Upendo ndiyo amri kuu kwa watu wote, ukiweza kusimama na upendo basi utafanikiwa kwenye mengi. Mambo mengi yanakwenda ndivyo sivyo katika maisha yetu ni kwa sababu ya kukosa kukosa upendo. Laiti kama kila mmoja wetu angekuwa anasimamia na kuishi falsafa ya upendo basi dunia ingekuwa salama kwa …
Huna Mtu Wa Kumlaumu Katika Maisha Yako
Imekuwa ni desturi ya watu wengi katika maisha kuwalaumu wengine kwa kila kitu. Watu wanashindwa kuvaa majukumu yao ya kila siku na wakiona mambo yameenda ndivyo sivyo wanatafuta mtu wa kumlaumu. Kuna mchekeshaji mmoja anasema, Kama ukikosa watu wa kuwalaumu wazazi wako wako pale kwa ajili ya kuwalaumu. Kuliko kuwalaumu watu kwa matokeo yako unayopata …