Mimi nina amini kauli ya mwandishi na mwanafalsafa Zig Ziglar inayosema; Unaweza kupata kitu chochote kwenye maisha yako kama ukiwasaidia watu wengine vya kutosha kupata kile wanachotaka. Kama unahitaji kupiga hatua ni lazima uwasaidie wengine kupata kile wanachotaka na wewe utapata kile unachotaka. Huwa tunapambana nakuamini kuwa mafanikio yatakuja kwa jeshi la mtu mmoja. Mafanikio …
Hakuna Aliyeamka Na Kujikuta Ana Deni Hili
Kila kitu kinaanza kidogo, huwa tunadharau vitu vidogo kumbe vitu vidogo tunavyovichukulia poa ndiyo vinatuletea madhara makubwa. Hakuna tatizo kubwa bila tatizo dogo. Tatizo lolote kubwa limeanza likiwa dogo. Hata katika tabia, hakuna tabia ambayo unayo leo iliyoshuka kutoka mbinguni kwa siku moja bali tabia ambayo unayo leo ilianza kidogo kidogo na hatimaye leo kuwa …
Continue reading "Hakuna Aliyeamka Na Kujikuta Ana Deni Hili"
Njia Rahisi Ya Kufanya Makubwa
Uko duniani kwa sababu, hakuna ambaye yuko duniani bila sababu maalumu.Una kusudi ndiyo maana unaishi. Je swali la kujiuliza unaishi kulifanyia kazi kusudi lako au unaishi tu ili mradi siku iende? Wako ambao wamejiwekea malengo ya kutafuta tu hela ya kula na wako ambao wamejiwekea malengo makubwa ya kuwa na fedha nyingi hatimaye kuwa na …
Hiki Ndicho Kitu Kinachoathiri Maisha Yako
Maisha yetu yameathiriwa na kitu kimoja kikuu nacho ni maamuzi. Maamuzi tunayofanya kila siku ndiyo yanayoweza kuathiri maisha yetu kwa kiasi kikubwa. Je ni nini kilichokufanya uwe hapo ulipo leo? Bila shaka ni maamuzi ambayo tayari ulishayafanya huko nyuma. Kinachowafanya watu wasiendelee au kuendelea basi eneo linalowasumbua ni maamuzi tu na wala siyo kitu kingine. …
Continue reading "Hiki Ndicho Kitu Kinachoathiri Maisha Yako"
Hivi Ndivyo Soko Linavyokuwa Halina Huruma
Kwa kuanza tu hivi unafikiri ni nani anayepanga bei ya maembe sokoni? Au kitu chochote kile? Unaweza ukawa na maoni mengi juu ya hili ila ukweli ni kwamba soko huwa linajiendesha lenyewe na ndiyo maana nimekuambia hivi soko huwa halina huruma linapoamua kufanya kitu huwa haliangalii sura ya mtu. Soko linaamua kama vile asili inavyoamua …
Continue reading "Hivi Ndivyo Soko Linavyokuwa Halina Huruma"
Faida Moja Ya Kufanya Kazi Kwa Juhudi
Wale wote waliofanikiwa usione kama wamefanikiwa kwa bahati licha ya bahati nayo inahusika katika mafanikio. Bahati huwa haiji huku tukiwa tumeweka mikono mifukoni bali huku tukiwa tunajituma zaidi. Watu wote wenye bahati ni wale wanaofanyia kazi mawazo yao.Kama ungefanyia kazi mawazo yako leo hii ungekuwa wapi? Angalia mawazo yako yote ambayo hujayafanyia kazi kama leo …
Usiogope Historia Ya Maisha Yako
Huwa tukifikiria historia ya maisha yetu, kule tulikotoka na tukijilinganisha na wengine huwa tunajiona na kujikuta kama vile hatuna maana hapa duniani. Siyo kila mmoja wetu historia yake ni nzuri, ni wachache sana wanatokea katika familia zenye historia nzuri lakini wengine ni historia mbaya wala hazifai kusomwa mbele za watu hata kuandikwa kwenye vichwa vya …
Huu Ndiyo Muda Mzuri Wa Kuishi
Jinsi tunavyoishi na kutumia muda wetu utafikiri kama vile tutaishi milele. Tunatumia muda wetu vibaya, tunasogeza mambo mbele tunafikiria kuwa labda mambo baadaye yatakuwa ni mazuri zaidi ya sasa. Tunafikiria kuwa kuna muda mwingine mzuri wa kuishi. Kumbe tunajidanganya sisi wenyewe. Muda mwingine mzuri wa kuishi ni sasa. Kwa sababu wakati wa sasa ndiyo una …
Tabia Zinatengenezwa Pale Tunapopitia Magumu
Ruben Gonzalez aliwahi kunukuliwa akisema, tabia zinatengenezwa pale tunapopitia magumu. Kwa kuwa watu ni wagumu katika kujenga tabia lakini linapokuja suala la hatari watu wanakuwa makini sana kuchukua tahadhari juu ya jambo litakalojitokeza. Sisi watanzania tumekuwa na utamaduni wetu wa kusalimiana kwa kupeana mikono na ni ngumu kuacha tabia hiyo kirahisi lakini kwa kuwa tabia …
Continue reading "Tabia Zinatengenezwa Pale Tunapopitia Magumu"
Asilimia 95 Ya Kila Unachofanya Kinatokana Na Hiki
Mwanafalsafa Aristotle, aliwahi kunukuliwa akisema, asilimia 95 ya kila kitu wanachofanya watu, ni matokeo ya tabia. Kumbe, hata wewe kusoma kila siku kupitia mtandao huu ni tabia ambazo umejijengea. Kuamka mapema kila siku ni tabia ambazo umejijengea. Hakuna mtu ambaye amezaliwa na tabia fulani bali, tabia zote ambazo tunazo leo tumezitengeneza sisi wenyewe. Mtu mmoja …
Continue reading "Asilimia 95 Ya Kila Unachofanya Kinatokana Na Hiki"