Mara nyingi mtafuta sababu huwa haishiwi sababu. Watu wengi wanaokuwa na visingizio huwa wana malengo yao pia. Hivyo leo kupitia makala yetu ya leo tunakwenda kujifunza malengo makubwa mawili ya watu wenye visingizio. Moja ni kujitetea baada ya kushindwa. Mtu anapokuwa ameshindwa anatafuta sababu nyingi ili kuhalalisha kushindwa kwake.Kwa mfano, kamuulize mwanafunzi yeyote aliyepata daraja …
Continue reading "Haya Ndiyo Malengo Makubwa Mawili Ya Visingizio"