Rudi kitandani ukalale. Kuamka asubuhi na hujui nini unatakiwa kufanya hizo ni tabia za kimasikini. Unasubiri matukio yakuongoze badala ya kuwa na ratiba inayokuongoza. Kabla hujalala unapaswa kuipangilia kesho yako. Anza kupangilia nini unataka kufanya na kuweka kwenye maandishi kabisa. Na tengeneza mfumo wako ambao utakua unautumia kila siku. Kila siku pata masaa mawili au …
Utalivuka Daraja Pale Utakapolifikia
Huwa tunakuwa na hali ya kujisumbua na mambo ambayo hata bado hatujayafikia.Tunatakiwa kuweka nguvu kubwa katika kubabiliana na kile ambacho kipo mbele yetu sasa. Kwa mfano, mwingine anaweza kufikiria sijui kesho itakuwaje, hupaswi kuiwazia kesho itakuwaje kwani kesho itakuja kama ilivyopangwa kutokea. Mambo yajayo ni mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu kwa sababu hatuwezi …
Huu Ndiyo Msamiati Usiofaa Kujiambia
Kwenye maisha yako, kamwe usijiambie umeshindwa. Futa kabisa msamiati wa kujiambia umeshindwa kwenye fikra zako. Akili yako inatakiwa iamini kwenye uwezekano tu. Kama dunia ina utele kwa nini weweujiaminishe kwenye uhaba? Unajipunja vitu vingi pale akili yako inapofikiria kwenye kushindwa. Anayejiwazia kushindwa ni amekubali kwa makusudi kuwa na fikra za kimasikini. Hata kama huna fedha …
Kama Unataka Kufanikiwa Usisahau Kufanya Hivi
Watu wengi wanataka kufika kwenye mafanikio makubwa kwa njia ya kuongea lakini siyo ya kuweka kazi. Kama kuna neno ambalo nataka kukuachia leo ukae na kulitafakari basi ni jitume sana. Jitume sana kadiri ya uwezo wako wote. Usikubali kirahisi kwamba haiwezekani. Unapojituma, ukaweka nidhamu na uadilifu lazima utaona mafanikio makubwa. Usikate tamaa pale unapokutana na …
Continue reading "Kama Unataka Kufanikiwa Usisahau Kufanya Hivi"
Kugatua Siyo Kutekeleza
Watu huwa wanagatua majukumu kwa wasaidizi wao wa kazi na wakishamaliza kufanya hivyo wanajiona wamemaliza kazi. Hapana, kugatua majukumu siyo kutekeleza kazi. Bado unatakiwa kuweka kazi ya kufuatilia yale majukumu ambayo umewapa watu wengine wakusaidie. Asili ya binadamu ni udhaifu. Wengi huwa hawajitumi kwenye majukumu yao mpaka uwafuatilie kwa karibu sana licha ya watu wachache …
Mambo Manne Yanayoweza Kuharibu Mahusiano Yako
Hakuna kitu ambacho watu wanakichukulia poa kama mahusiano. Kwa sababu mtu unaweza kukosa vyote lakini huwezi kukosa kuwa na mahusiano. Kwa sababu sisi binadamu ni viumbe vya mahusiano kadiri ya vinasaba. Mahusiano yetu yakikosa vitu vifuatavyo vinakufa. Muda, ni kitu cha bure tu lakini usipoyapa mahusiano yako muda hata ufanye nini yatakufa. Jitahidi kutenga muda …
Continue reading "Mambo Manne Yanayoweza Kuharibu Mahusiano Yako"
Leo Nenda Kalinde Kitu Hiki Kimoja Kwenye siku Yako
Unapoamka asubuhi mwili wako unakuwa na nguvu za kutosha. Hii ni kama simu, asubuhi inakuwa fuli chaji lakini ikifika jioni inakuwa haina chaji. Leo unapokwenda kuianza siku yako hakikisha unakwenda kulinda nguvu zako vizuri na siyo kuzitawanya. Usipolinda nguvu zako utajikuta unachoka bila kuona kazi uliyofanya. Linda nguvu zako kwa kufanya yale ambayo ni muhimu …
Continue reading "Leo Nenda Kalinde Kitu Hiki Kimoja Kwenye siku Yako"
Leo Nenda Kalinde Kitu Hiki Kimoja Kwenye siku Yako
Unapoamka asubuhi mwili wako unakuwa na nguvu za kutosha. Hii ni kama simu, asubuhi inakuwa fuli chaji lakini ikifika jioni inakuwa haina chaji. Leo unapokwenda kuianza siku yako hakikisha unakwenda kulinda nguvu zako vizuri na siyo kuzitawanya. Usipolinda nguvu zako utajikuta unachoka bila kuona kazi uliyofanya. Linda nguvu zako kwa kufanya yale ambayo ni muhimu …
Continue reading "Leo Nenda Kalinde Kitu Hiki Kimoja Kwenye siku Yako"
Hawa Ndiyo Watu Ambao Huwa Hawaishiwi Sababu
Ni wateja. Wateja huwa hawaishiwi sababu kwenye kitu chochote kile. Mteja ni kama mtoto mdogo ukimpatia hiki atataka kile. Lakini, mteja muhimu ambaye anajua thamani ya kile unachouza huwa hana sababu yoyote ile. Na wateja ambao wana sababu wala siyo wanunuaji ni wale ambao wanakupotezea muda. Mteja mwenye uhitaji wa kitu na anajua thamani ya …
Continue reading "Hawa Ndiyo Watu Ambao Huwa Hawaishiwi Sababu"
Njia Ya Uhakika Ya Kushindwa Kwenye Biashara
Ni kufanya biashara kwa mazoea. Hii ni kwa sababu ushindani wa kibiashara umekuwa mkubwa sana kwenye zama hizi. Kama hujifunzi kadiri ya kasi ya dunia lazima utashindwa vibaya. Unalazimika kujifunza kila wakati na kuja na ubunifu wa kipekee kabla washindani wako hawajaja na ubunifu wa aina hiyo. Jifunze kuchukua hatua sahihi ili biashara yako iweze …
Continue reading "Njia Ya Uhakika Ya Kushindwa Kwenye Biashara"