Mpendwa rafiki yangu, Kazi yangu leo ni kukupa ushuhuda kutoka kwa Msomaji wa Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa. Kama inavyojionesha hapo kwenye screenshot ndivyo inavyoonesha majadiliano yetu baada ya kukipata kitabu. Kitabu hiki kinapatikana kwa mfumo wa nakala ngumu. Bei ya kitabu hiki ni 15000 na haijalishi uko wapi tutakutumia kwa njia ya basi …
Continue reading "Ushuhuda Wa Msomaji Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa-1"