Hakuna kitu kigumu kama mtu kutoa pesa yake ambayo ameipata kwa shida. Wako wako tayari kutoa fedha yao pale ambapo wanakuwa wamepata suluhisho la tatizo lao. Njoo na suluhisho ambalo watu wako tayari kulipia pesa. Kama huna fedha jiulize, je ni suluhisho gani ambalo naweza kuja nalo na watu wakawa tayari kulipia pesa? Kila mtu …
Continue reading "Njoo Na Kitu Hiki Ambacho Watu Watakuwa Tayari Kulipia Pesa"