Usishindane au kujilinganisga na mtu yeyote maana utaibua matatizo mengi na tayari matatizo uliyonayo yanakutosha. Huna haja ya kuongeza mengine wakati uliyokuwa nayo hujayamaliza. Usishindane na mtu, bali shindana na wewe mwenyewe wa jana. Kila siku pambana uwe bora uwe bora kuliko ulivyokuwa siku iliyopita. Usikubali siku zako mbili zifanane. Kila siku hakikisha umejifunza na …
Jifunze Kubadilika Kwa Sababu Maisha Huwa Hayasimami
Kuwa Makini Na Watu Hawa Wawili
Unaweza ukawa ni mtu wa kufanya mazuri lakini usisikie habari hizo zikivuma kasi sana lakini siku ukifanya baya utashangaa habari hasi zitakavyosambaa kwa kubwa. Watu huwa hawaangalii mazuri bali ni mabaya tu. Ndiyo maana hata vyombo vya habari huwa hawatangazi chanya kwa sababu wanajua habari hasi ndiyo zinashika umakini wa watu. Unapaswa kujua kuwa, habari …
Jinsi Ya Kujenga Umakini
Washukuru Watu Hawa Hapa Kwenye Maisha Yako
Mpaka hapo ulipo leo, kuna watu ambao wamekuwa sababu ya wewe kuwa hapo ulipo. Ziko sababu nyingi za wewe kuwa hapo ulipo leo. Kwenye jambo lolote lile linalotekea katika maisha yako kuna kitu cha kujifunza au kukutoa hapo ulipo leo. Washukuru wale ambao hawakuamini maana watakusukuma kupiga hatua mbele. Vile ambavyo wanaona wewe hauwezi wewe …
Continue reading "Washukuru Watu Hawa Hapa Kwenye Maisha Yako"
Hii Ndiyo Taarifa Ambayo Inauza Sana Kwenye Vyombo Vya Habari
Ni kawaida watu kupenda kusikia habari za kukatisha tamaa kuliko za kuleta matumaini hasa pale mambo yanapokuwa si mazuri. Mwambie mtu kuwa akifanya uwekezaji fulani mwakani atapata faida hata kuelewa na kukuamini. Lakini mwambie ukifanya uwekezaji fulani unakwenda kupata hasara atakuamini na kumsikikiliza mwenye habari hasi. Taarifa ambazo zinauza sana kwenye vyombo vya habari ni …
Continue reading "Hii Ndiyo Taarifa Ambayo Inauza Sana Kwenye Vyombo Vya Habari"
Tafuta Mtu Wa Kukuwajibisha
Kwa sababu sisi binadamu ni wavivu kiasili. Usipokuwa na mtu anayekuwajibisha ni vigumu kuchukua hatua. Kama unaona nidhamu binafsi bado ni tatizo tafuta mtu ambaye atakuwajibisha yaani accountability partner. Mtu ambaye unamweshimu na wala hutoweza kumwangusha hata kidogo. Wakati mwingine unaweza kumpa kiasi fulani cha fedha kwamba akae na hizo fedha usipofanya kitu fulani basi …

Jinsi Ya Kujenga Nguvu Ya Ushindani
Kitu kikubwa cha kujifunza hapa ni kwamba kama huna kitu kinachokutofautisha na wengine, basi huna umuhimu. Huna nguvu ya ushindani na yeyote anaweza kukuangusha na ukaanguka.Mtu asiyekuwa na msimamo, chochote kinaweza kumwangusha. Nguvu ya ushindani inajengwa kwa kujitofautisha, kwa kufanya kile ambacho unaowalenga hawawezi kukipata mahali pengine isipokuwa kwako tu. Unapaswa kujiuliza unaweka juhudi eneo …