Ni kwenye eneo la kipato na fedha kwa ujumla. Watu wengi wamekuwa na faraja fulani katika eneo la fedha au kipato kwa ujumla. Kwa mfano, kila mmoja wetu ana kiwango chake cha fedha ambacho akishakipata akili yake inatulia na kuridhika lakini asipokipata akili yake inakuwa haiko sawa. Jambo ambalo huwa lishangaza kwenye jamii zetu ni …
Continue reading "Vunja Laana Zote Ulizobeba Kwenye Eneo Hili"