Kipimo kizuri cha huduma bora kwa mteja ni kujipima kwa sentensi hii"Mara zote nitampa mteja huduma ambayo mimi mwenyewe ningejipa kama ningekuwa mteja huyo" Kuna wakati tunawahudumia wateja wetu lakini hatuwapatii huduma bora. Na watu wengi hawatoi huduma bora ndiyo maana hawafanikiwi. Watu wanaangalia wanapataje fedha kabla hawajaangalia wanasaidiaje kwa kutoa huduma bora. Mafanikio yoyote …
Continue reading "Hii Ndiyo Huduma Unayopaswa Kumpa Mteja Wako"