Kwenye maisha kuna vitu ambavyo havina mjadala na kuna vitu ambavyo vina mjadala ili vifanyike. Kwenda kujisaidia, kula, kulala, kupiga mswaki ni vitu ambavyo haviitaji mjadala ikishafika wakati wake unafanya tu, hujiulizi nikajisaidie au nisiende. Lakini sasa, INAPOKUJA kwenye vitu vya maana ambavyo vinatupa fedha kama kazi, biashara au hata kusoma vitabu na kujifunza kuwa …
Continue reading "Watu Wote Wanaofanya Wanatumia Mbinu Hii Hapa"