Kazi Unayopaswa Kufanya Kila Siku Ili Kukuletea Mafanikio Makubwa

Mpendwa rafiki, Wote tunajua umuhimu wa kazi, ila sharti la kazi iwe halali na siyo vinginevyo. Usijisifie unafanya kazi kumbe kazi yenyewe siyo halali. Kuna kazi ambayo watu wengi sana hawaifanyi, kazi ambayo kila mmoja wetu akiifanya inamletea mafanikio makubwa kwenye maisha yake. Kazi unayopaswa kufanya kila siku ili ikuletee mafanikio makubwa siyo kazi nyingine …

Jinsi Ya Kufanya Kazi Yoyote Kuwa Rahisi

Kazi ndiyo msingi wa maendeleo. Mafanikio tunayotaka yanakuja kama tukiwa tunafanya kazi, mtu ambaye hafanyi kazi atanuka na hivyo hakuna mtu ambaye atapenda kukaa na mtu anayenuka. Kila na afanye kazi , kwa namna hiyo dunia itazidi kupendeza. Kama mtu ni mvivu na anataka maendeleo lakini anamkimbia kazi basi mwambie asahau kuhusu mafanikio. Kazi ni …

Kama Mwaka 2018 Ulishindwa Kufanikiwa Malengo Yako Usiache Kusoma Makala Hii

Mpendwa rafiki yangu, Dunia ya sasa ina mambo mengi. Kama mtu huna kitu cha kusimamia lazima utapeperushwa na upepo. Maisha yatakuwa magumu sana kama utataka kuishi kama vile watu wanavyotaka wao. Na siyo kama vile unavyotaka wewe. Uhuru wa maisha ni kuishi vile utakavyo wewe lakini siyo kuvunja sheria na kwenda kinyume na mapenzi ya …

Jinsi Ya Kumwandaa Mtoto Wako Kuwa Mwekezaji Na Tajiri Mkubwa Wa Baadaye

Mpendwa rafiki yangu, Kama una mtoto au unatarajia kuwa na mtoto bado una nafasi nzuri sana ya kumfanya mtoto wako kuwa mwekezaji na tajiri mkubwa sana wa baadaye. Sifa moja wapo ya uwekezaji ni  muda, kadiri unavyoanza kuwekeza mapema ndiyo uwezekano mkubwa wa kufanikiwa unaongezeka. Wazazi ni wajibu wenu kuwafundisha watoto misingi ya fedha tokea …

Huu Ndiyo Ufalme Ulio Mkuu Kuliko Ufalme Wote

Maisha ya kujiamini ni maisha ya kifamle au kimalikia. Wafalme wanaishi vile watakavyo vivyo hivyo hata malikia wanaishi vile watakavyo. Ni watu wanaojikubali sana siyo kwamba malikia ni watu wazuri sana au walioumbika sana bali wanajiamini sana kwa nafasi waliyo. Kila mtu ni mfalme na malikia wa maisha yake. Unatakiwa kufurahia maisha yako na usisubiri …

Jinsi Ya kuuwahi Muda Kabla Haujakuwahi Wewe

Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu anapoteza muda kwa namna yake. Na hakuna hata mtu mmoja anaweza kusimamisha muda usiende. Hata mabilioni ya biligeti hayawezi kununua hata dakika moja ya muda. Hivyo basi, muda una thamani kubwa katika maisha kuliko hata fedha. Ukiwa na muda utapata fedha kwa kuwa muda ndiyo mtaji wa vitu vyote tunavyoviona …

Hiki Ndiyo Kitu Kinacholipa Kwa Mara Ya Kwanza Unapokutana Na Mtu

Rafiki, Unapokutana na mtu mara ya kwanza ile picha utakayomwachia ndiyo itaendelea kutawala katika akili yake. Hivyo basi, Unapokutana na mtu kwa mara ya kwanza hakikisha unatokea katika mwonekano mzuri, vaa vizuri unekana kweli ni mtu ambaye ana sifa fulani. Kama unavaa vaa kama mtu anayekwenda kufanya kazi sehemu fulani, uvaaji unaweza kukushushia hata hadhi …

Huyu Ndiye Mtu Ambaye Hana Shida na Fedha

Yoyote ambaye hataki maisha mazuri, Hataki kuwa na mali, fedha na kufanya kile anachotaka katika maisha yake huyo hayuko sawa kiakili. Kila mmoja anahitaji maisha mazuri na maisha mazuri yapo kama una fedha. Kama huna fedha huwezi kupata kile anachotaka, huwezi kula kile unachopenda. Ni ushahidi wa wazi kabisa kuwa fedha inafanya maisha yetu kuwa …

Kama Uko Kwenye Maisha Ya Ndoa, Kazi Yoyote Ile Epuka Kabisa Kufanya Kitu Hiki

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna kitu kibaya kama kuingia na kuishi wito ambao siyo wako. Ni mateso sana kufanya kile ambacho hakikusukumi kufanya kila siku. Katika maisha yetu ya mahusiano tunakutanishwa na watu wenye tabia tofauti. Kila mmoja ana tabia zake na watu wakikutana tena wanatengeneza tabia na kisha tabia zinawatengeneza tena. Kuna kitu ambacho watu …

Hili Ndiyo Jawabu La Kuishinda Hofu

Mpendwa rafiki yangu, Mara nyingi pale tunapotaka kufanya au kuanza kitu kipya huwa tunaingiwa na hofu ndani yetu. Hata kitendo tu cha kuzaliwa kwetu kuja duniani tunalia kwa hofu, sijui kama kuna mtu katika yetu alizaliwa akiwa anacheka, kama yupo hongera yake. Jamii yetu imejawa na hofu na kila mtu anapozaliwa anarithishwa ile hofu ndani …

Design a site like this with WordPress.com
Get started