Mpendwa rafiki yangu, Mara nyingi pale tunapotaka kufanya au kuanza kitu kipya huwa tunaingiwa na hofu ndani yetu. Hata kitendo tu cha kuzaliwa kwetu kuja duniani tunalia kwa hofu, sijui kama kuna mtu katika yetu alizaliwa akiwa anacheka, kama yupo hongera yake. Jamii yetu imejawa na hofu na kila mtu anapozaliwa anarithishwa ile hofu ndani …
Category Archives: Uncategorized
Usimlaumu Mtu Yeyote Kama Hujamfanyia Kitu Hiki
Hakuna kazi ngumu kama ya kumfundisha mtu tabia. Watu wanakuwa na tabia zao sasa ukitaka kubadilisha kwa siku moja lazima utashindwa tu. Unaweza kumfundisha mtu kazi, lakini siyo kumfundisha mtu tabia. Ni rahisi kuwalaumu wengine pale tunapoona hawatufanyii vile tunavyotaka sisi. Muda mwingine tunaweza kuona kuwa labda wanatufanyia tu kwa makusudi kumbe wanakuwa hawajui kitu. …
Continue reading “Usimlaumu Mtu Yeyote Kama Hujamfanyia Kitu Hiki”
Hii ndiyo Hamasa Kwa Mtu Aliyekata tamaa Hapa Duniani
Rafiki, Wengi wetu tunapokuwa tunatafuta kile tunachokitaka kwa muda mrefu bila kukipata huwa tunaishia kukata tamaa. Wengine tunajikuta tuna nung’unika na kulalamika na kuona kama Mungu ametusahau vile kumbe siyo kweli. Ziko familia nyingi ambazo zimekuwa katika hali ya sintofahamu huenda ni kwa sababu ya kukosa kile wanachokitaka kwa muda mrefu. Tukumbuke ya kuwa kinachoshindikana …
Continue reading “Hii ndiyo Hamasa Kwa Mtu Aliyekata tamaa Hapa Duniani”
Hiki Ndiyo Kipindi Kizuri Cha Kujua Thamani Ya Uhai Wako
Hakuna zawadi kubwa hapa duniani tuliyopewa kama zawadi ya kuishi. Ni upendeleo mkubwa mimi na wewe kuendelea kuishi hapa duniani. Kupitia zawadi ya uhai ndiyo tunaweza kukamilisha ndoto zetu tulizokuwa nazo. Tunaweza kuwa malengo na mipango mizuri lakini bila zawadi ya uhai hatuwezi kitu. Ni zawadi ambayo hatuilipi hivyo tunaalikwa mimi na wewe kushukuru kwa …
Continue reading “Hiki Ndiyo Kipindi Kizuri Cha Kujua Thamani Ya Uhai Wako”
Ufahamu Utamaduni Ambao Watu Wengi Hawana
Rafiki, Hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu,bali tumezaliwa tukiwa tunajua kulia na kunyonya tu lakini kadiri tunavyokua basi tumejikuta tunajua vingi. Akili zetu ni kama raba bendi kadiri unaivuta ndivyo inavyoongezeka urefu. Uko hivyo ulivyo kadiri ya maarifa uliyoamua kuingiza katika akili yako, kadiri unavyoingiza vitu chanya akili mwako nayo akili yako inaendelea kutanuka hivyo wigo …
Continue reading “Ufahamu Utamaduni Ambao Watu Wengi Hawana”
Unapaswa Kwanza Kusadiki Kitu Hiki Ili Uweze Kufanikiwa
Mpendwa rafiki yangu, Ni rahisi sana kuwandanganya watu wa nje lakini ni ngumu sana kujidanganya wewe mwenyewe. Unaweza kuwadanganya watu wengi lakini huwezi kujidanganya mwenyewe. tumekuwa na maisha ya kuigiza ya kuonekana sisi ni watu wa namna gani mbele za watu lakini ukweli wa maisha yetu tunaujua sisi wenyewe hata kama tunadanganya. Leo hii nimejipa …
Continue reading “Unapaswa Kwanza Kusadiki Kitu Hiki Ili Uweze Kufanikiwa”
Kwanini Watu Wengi Wanashindwa Kutimiza Mipango Waliyojiwekea
Mpendwa rafiki yangu, Kupanga ni rahisi na kila mtu anaweza kupanga. Ulivyoanza mwaka huu umepanga lakini kwenye utekelezaji ni shida kidogo. Hakuna kitu chochote ambacho ni rahisi hapa duniu. Hakuna kitu chochote ambacho hakiitaji kazi, kila kitu kina hitaki kazi. Tunaishia kupanga tu, tunafikiri tukishapanga mambo yatakuya yenyewe bila kuweka kazi. Kila mtu angekuwa anatekeleza …
Continue reading “Kwanini Watu Wengi Wanashindwa Kutimiza Mipango Waliyojiwekea”
Pitwa Na Habari Zote Lakini Usikubali Kupitwa Na Habari Hii
Mpendwa rafiki yangu, Habari zimekuwa nyingi kuliko watu wanaopaswa kuzisikiliza. Habari zimekuwa kama kelele, ni nyingi kiasi kwamba zinawapoteza hata watu, hata utenge siku nzima huenda usimalize habari hizo kwa sababu kila sekunde habari mpya zinazalishwa. Tunapoteza muda mwingi kwenye kufuatilia habari kuliko kufanya kazi na uzalishaji. Mtu yuko radhi akose yote lakini asipitwe na …
Continue reading “Pitwa Na Habari Zote Lakini Usikubali Kupitwa Na Habari Hii”
Huwezi Kuishi Maisha Kikamilifu Bila Kuwa Na Fedha
Rafiki, Iko wazi kabisa bila hakuna mtu anayeweza kuishi maisha yake kikamilifu vile anavyotaka yeye bila kuwa na fedha. Kuwa na uhuru wa kifedha maana yake uko huru na kitu kinachoitwa pesa kwako siyo tatizo. Una uamuzi wa kufanya kitu chochote kile unachotaka. Kama bado unajiambia ningekuwa na fedha ningefanya hivi au vile hapo ni …
Continue reading “Huwezi Kuishi Maisha Kikamilifu Bila Kuwa Na Fedha”
Kitu Pekee Ambacho Wazazi Wanakosea Katika Malezi Ya Watoto
Mpendwa rafiki yangu, Kama wewe siyo mzazi basi ni mzazi mtarajiwa. Wanasema kuzaa siyo kazi , bali kazi kulea mwana. Nawaunga mkono wahenga wetu. Wazazi wengi wanawalea watoto kama vile wako katika zama za kikoloni. Wazazi wamekuwa wanawaua watoto kwa kutumia ndimi zao,kuwanenea maneno ambayo siyo chanya juu yao. Tumekuwa na wazazi ambao wanawalea watoto …
Continue reading “Kitu Pekee Ambacho Wazazi Wanakosea Katika Malezi Ya Watoto”