Rafiki, Hakuna wakati mzuri wa kujifunza kwenye maisha kama wakati wa majanga. Jua kwamba, majanga kwenye maisha yetu yanamfikia kila mtu na huwezi kuyakwepa. Na njia bora ni kujifunza kupitia majanga hayo ili kuwa bora zaidi. Na namna watu wanavyopokea majanga ni tofauti.Wako ambao wanayapokea na wanajifunza kupitia majanga yao. Watu ambao wanayapokea majanga katika …
Category Archives: Uncategorized
Aliyejitoa Hana Maelezo
Rafiki, Kwenye haya maisha, maelezo huwa hayahitajiki bali watu wanahitaji matokeo. Haijalishi umepitia au unapitia nini, yule anayetegemea kupata kutoka kwako huwa anataka matokeo na siyo vinginevyo. Haitaji maelekezo yako, anahitaji kile anachotaka. Kama unaweza kutoa maelezo, kwa nini unashindwa kutoa matokeo? Jitahidi sana kwenye maisha yako, usiwe mtu wa maelezo bali kuwa mtu wa …
Siyo Uhalisia
Rafiki, Huwa tunatengeneza hofu kisha hofu inatutengeneza.Tunatengeneza mazingira ya hofu ambayo yanakuwa kama breki kwetu. Hofu ni kitu ambacho hakipo katika uhalisia, hofu ni zao la akili ambalo tunalitengeneza sisi wenyewe. Tunatengeneza picha kwenye akili yetu ambayo kiuhalisia hata hicho kitu hakipo. Usiwe na hofu yoyote kwenye maisha yako, kama kitu kimepangwa kutokea kitatokea tu. …
Kila Mtu Anajali Maslahi Yake
Rafiki, Sisi binadamu kiasili kabisa ni wabinafsi. Kila mtu yuko hapa duniani kwa ajili ya maslahi yake. Watu huwa wanaangalia wanapata nini kwanza kisha ndiyo wafanye kile wanachofanya kufanya.Hata kwenye mauzo, watu hawezi kushawishika kuchukua hatua ya kununua kitu fulani kama hawana maslahi wanayoyapata kwenye kile wanachonunua. Usije ukawashangaa watu pale unapowaona wanashindwa kushawishika kuchukua …
Fanya Kazi Na Watu Hawa Utafanikiwa Sana
Kwenye maisha ukifanya kazi na mtu ambaye tayari anaona ameridhika ni ngumu sana kukufanyia kile ambacho unataka tena kwa wakati. Watu walioridhika na mafanikio kidogo ni sumu kubwa kwenye safari yako ya mafanikio.Unapaswa kufanya kazi na mtu ambaye ana njaa ya mafanikio na siyo mtu ambaye ameshiba. Waswahili walishasema, mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Fanya kazi …
Watu Watakuunga Mkono
Ni kawaida ya binadamu, pale ambapo bado hujaanza kufanya kitu, unakuwa na wasiwasi fulani. Je, vipi kama nikifanya na kukutana na changamoto itakuwaje?Usiwe na wasiwasi rafiki yangu, utapata watu ambao watakusaidia kukuunga mkono kwenye kile unachofanya. Kabla ya kuanza kitu, unaweza kujiona kama vile uko mwenyewe. Lakini, ukishaanza, wale wenye mapenzi ya dhati wataungana na …
Kushiriki Kikamilifu Na Kutaka Kuonekana
Kwenye matukio ambayo watu wengi wanashiriki, wengi wanakuwepo kwa madhumuni mawili.Moja, mwingine anashiriki kwenye jambo ili tu apate kuonekana kwamba ameshiriki.Na mwingine anashiriki kwenye jambo kikamilifu. Kushiriki kikamilifu maana yake akili yako yote inakuwa pale na kutekeleza yale yanayopaswa kufanywa kadiri ya mahitaji ya tukio. Kwa mfano, kuhudhuria nyumba za ibada, wako ambao wanaenda nyumba …
Haya Ndiyo Makosa Mazuri
Kila mtu anakosea kwenye maisha yake. Na makosa mazuri ni yale ya kufanya kuliko kuliko kutokufanya. Ni bora kufanya kile unachopaswa kufanya kuliko kutokufanya. Unapofanya na ukakosea, kuna vitu utakavyojifunza na ukaviboresha zaidi. Ukifanya na ukakosea, hutaweza kurudia makosa hayo hayo wakati mwingine. Lakini, utafanya vizuri na kwa usahihi ili usirudie makosa. Usiogope kukosea, fanya …
Njia Ya Kupiga Hatua Kwenye Maisha Yako
Hakuna kitu kibaya kwenye maisha yako kama mazoea. Mazoea ni kufanya kitu bila kuwa na ubunifu wowote ule. Kama unataka ushindwe mapema kwenye kila eneo la maisha yako, basi ingiza mazoea na utapata anguko mara moja. Chochote kile unachofanya, fanya kwa ubunifu na usifanye kwa mazoea. Njia ya kupiga hatua kwenye maisha yako ni kuwa …
Kabla Hujaendelea Na Safari
Pata picha umeenda stendi na kupanda gari halafu unamuuliza swali dereva, hii gari inaenda wapi?Dereva anakujibu sijui hata inaenda wapi. Hatua ya kwanza utakayochukua kabla ya mengine ni kushuka kwanza ili usije ukapotea zaidi. Hii ina maana gani? Kama bado hujajua kule unakokwenda ni bora usiendelee na safari. Kwa sababu utaendelea kupotea zaidi. Usiongeze mwendo …