Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa umekuwa na wikiendi njema. Hongera rafiki kwa kumaliza wiki salama na kama wiki yako haikuenda salama pole. Mpendwa rafiki napenda kukualika tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Mpendwa msomaji, leo tutakwenda kujifunza jambo la kuepuka pale unapokuwa …
Continue reading “Jambo Muhimu La Kuzingatia Pale Unapotoa Huduma Kwa Mteja”