Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? ni matumaini yangu kuwa umeamka salama na umeianza siku yako kwa hamasa kubwa ya kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata kilicho bora. Napenda kutumia nafasi hii kukualika tena katika makala yetu ya leo ambapo kila jumamosi huwa nakushirikisha uchambuzi wa kitabu. Leo …
Continue reading “Mambo Muhimu Unayoweza Kujifunza Katika Kitabu Cha Speed Wealth”