Kuchagua kazi yoyote ile kwa kigezo cha kipato ni kujiandaa kuumia, kwa sababu kazi nyingi hazitakupa kipato kinachoendana na juhudi unazopaswa kuweka kwenye kazi hiyo. Sina uhakika kama itakufaa lakini kitu cha kwanza unachopaswa kutumia kufanya maamuzi ya kazi ni mapenzi na kujali. Ikiwa unafanya kile unachopenda na unakijali kwa sababu kina maana kwako hata …
Usitafute Usalama Kwenye Maisha
Timu yoyote inayocheza uwanjani kwa lengo tu la kujilinda mara nyingi huwa inashindwa kabla hata mchezo haujaisha. Kiasili sisi binadamu tuko kwenye mwendo, hutakiwi kusimama, hutakiwi kuridhika unatakiwa kukua kila siku. Kwenye maisha hakuna kusimama, ni aidha uende mbele au urudi nyuma. Hivyo basi, maboresho yanatakiwa kuwa kila siku. Isifikie mahali unasema kwa sasa nimeshafika …
Usinunue Matatizo Ya Watu
Ukikaa na watu na kuwasikiliza kwa nini maisha yao yamekuwa hivyo yalivyo unaweza ukaamini ni kweli na kuwaonea huruma. Watu wengi bado hawajajitambua wanajua jukumu la maisha yao siyo lao bali ni la watu wengine na hapo ndipo matatizo yanapoanzia.Unaposema maisha magumu, magumu ukimaanisha nini? Kama hufanyi kazi, huishi misingi ya fedha unafikiri maisha hayatakuwa …
Msingi Mkuu Wa Fedha
Changamoto zote za kifedha zinaanzia kwenye mapato, matumizi na bajeti. Utaweza kuhangaika sana kwenye fedha, ukamtafuta mtu akuombee au unaweza kujiona huna bahati kwa sababu ya yale unayopitia kwenye fedha. Lakini msingi wa kwanza wa fedha ni kuishi chini ya kipato. Ukiona una shida kwenye fedha, anzia kwenye matumizi. Kwenye eneo la matumizi ndiyo linamaliza …
Kinachowafanya Watu Wengi Wakose Furaha Kwenye Maisha
Kinachowafanya watu wengi kukosa furaha kwenye maisha yao ni kuishi maisha ambayo yako chini ya uwezo wao. Kwa mfano, mtu anajijua kwamba anaweza kuwa na maisha bora kuliko aliyonayo sasa, anaweza kufanya kazi yake kwa ubora kuliko anavyofanya sasa na pia anaweza kupata kipato kikubwa kuliko anachopata sasa lakini hakuna hatua anazochukua kufikia ule uwezo …
Continue reading "Kinachowafanya Watu Wengi Wakose Furaha Kwenye Maisha"
Hiki Ndiyo Kipimo Cha Wito Wako
Kipimo cha wito wowote ule uliochagua kuishi siyo furaha bali ni ule ustahimilivu wako kwenye huo wito. Logan Pearsall Smith aliwahi kunukuliwa akisema, kipimo cha wito ni mapenzi ya mateso ambayo mtu unakutana nayo katika kufanyia kazi wito wako. Hapa unapata picha kwamba kipimo cha wito wako ni mapenzi ya kuvumilia wito wako mpaka mwisho, …
Ukiona Haitatui Jua Kuna Utapeli
Watu wengi watakuja kukushirikisha fursa mbalimbali na wakiuambia kwamba zinalipa. Wengine watakuambia njia rahisi za kupata fedha bila kufanya KAZI. Kama tunavyojua wote kwamba, msingi wa mafanikio yoyote yale ni kazi, na kama hakuna kazi hakuna mafanikio. Mtu yeyote anayekuja kukushirikisha fursa ya kibiashara, kwanza jiulize hivi; Hii biashara inatatua matatizo gani ya watu? Na …
Jinsi Ya Kukabiliana Na Gharama Za Maisha
Gharama za maisha zinapanda kila siku na changamoto ni kwamba, kama gharama za maisha zinapanda na watu huwa hawapandi. Kwa mfano, mtu anaendelea kuwa na kipato chake kile kile bila kuongeza na huku gharama za maisha zinapanda. Ili uweze kukabiliana na kupanda kwa gharama za maisha unapaswa na wewe kupandisha kipato chako. Njia pekee ya …
Continue reading "Jinsi Ya Kukabiliana Na Gharama Za Maisha"
Bidhaa Ambazo Huwa Zinazotaka Sana Kwenye Biashara
Asili ya binadamu ni uvivu, watu huwa hatupendi kujisumbua hivyo tuna kawaida ya kurahisisha mambo. Kwa mfano, bidhaa inayokuwa usawa wa macho ndiyo bidhaa ambayo huwa inanunuliwa sana. Kama una biashara, na unataka bidhaa zako ziende basi weka usawa wa macho wa watu. Kwa mfano, angalia supa maketi, bidhaa zinazonunuliwa sana ni zile zilizokaa usawa …
Continue reading "Bidhaa Ambazo Huwa Zinazotaka Sana Kwenye Biashara"
Hii Ndiyo Thamani Ya Kitu Kwenye Asili
Rafiki yangu nikupendaye, Je unajua thamani ya kitu kwenye asili ni nini?Thamani ya kitu kwenye asili ni uzalishaji wake.Asili huwa inapuuza vitu vyote ambavyo havina uzalishaji. Thamani ya kitu kwa binadamu ni uzalishaji. Usiache kufanya majukumu yako muhimu kwani kama huzalishi asili itakuondoa mara moja.Ukiwa kwenye kazi kama umeajiriwa huzalishi matokeo mazuri asili itakuondoa kwani …