Njia Ya Hovyo Ya Mauzo

Wauzaji wengi sana wanadhani ili waweze kuuza sana na kukubalika na wateja basi wanatakiwa kupunguza bei. Kupunguza bei ni njia ya hovyo ya muuzaji bora kuwahi kutokea. Kwa sababu kadiri unavyokuwa unapunguza bei, ndivyo na wewe unavyojinyima nafasi ya kupata faida. Faida kwenye biashara ndiyo tunda tamu. Faida ndiyo itakusaidia wewe kuendesha maisha yako. Kama …

Ujuaji Umekufikisha Wapi?

Kama unajua kweli kwa nini hufanyi? Je, hufanyi kwa sababu ni uzembe? Uvivu au ujinga? Kama unajua kwa nini hufanyi? Je, huo ujuaji wako umekufikisha wapi? Ukijaribu kuongea na watu wengi kila mtu ni mjuaji, wako ambao wanawashawishi watu wao wa karibu kuwa watu fulani lakini wao hawafanyi. Kwa mfano, mtu anawahamasisha wenzake kuwekeza kwenye …

Tumia Nguvu Zako Vizuri

Kama ingekuwa kufanya kazi kwa bidii tu inakutosha kuwa tajiri basi watu wengi wangeshakuwa matajiri. Watu wengi sana wanajituma lakini miaka nenda, rudi lakini bado wako pale pale.Unaweza kujiuliza ni kwa nini lakini sababu ni kwamba ni kushindwa kutumia nguvu vizuri. Chukulia Simba, Simba ni mwindaji bora kuwahi kutokea lakini hata siku moja huwezi kumkuta …

Tengeneza Hadithi Yako

Rafiki yangu nikupendaye, Chochote kile ambacho unafanya sasa ni kama vile unaitengeneza hadithi yako. Kila mtu ana hadithi yake hapa duniani.Je, uko hapa duniani kutengeneza hadithi ya aina gani? Hadithi ni hadithi, je wewe umeamua kutengeneza hadithi ya aina gani kwenye maisha yako?Unatengeneza hadithi ya kushindwa au kushinda? Tengeneza historia ya maisha yako, jitume kwa …

Paka Anapaswa Kuwa Kwenye Chumba Muda Wote

Katika hali ya kawaida kila mmoja wetu anamfahamu paka, huwa paka akikaa ndani ya chumba ambapo kuna panya, panya huwa hawaonekani wanajificha na kutulia ili wasionekane.Ili panya asitawale, paka anapaswa kuwa ndani ya chumba muda wote. Hii ina maana gani kwetu? Kuna hali ambayo huwa inatokea katika maisha yetu ya kila siku, kama kiongozi akiwepo …

Tayari Umepishana Na Mafanikio Makubwa

Kama haupo tayari kuchukuliwa kama mtu mwenye roho mbaya, tayari unakuwa umepishana na mafanikio makubwa. Katika safari ya mafanikio makubwa tegemea kukutana na mengi, sasa ukiwa laini na mtu wa kuogopa kwamba watu watakuchukuliaje hakika ni ngumu kutoboa na utapishana na mafanikio makubwa. Pale unapoamua kunyooka kama asili ilivyonyooka, unapoamua kufanya yaliyo sahihi mara zote …

Kuwa Na Mtu Wa Kukushika Mkono

Mara nyingi pale tunapokuwa tunataka kuanza kitu fulani tunakua hatuna njia ya uhakika ya kufanya kitu hiko. Kwenye kila eneo la maisha yetu, tunahitaji mtu ambaye atatushika mkono kwenye eneo hilo, alipopita yeye na wewe upite na hii ni kwa wale ambao tayari wameshafanikiwa kwenye eneo ambalo wewe unataka kupita. Unapokuwa unaenda sehemu, kama ni …

Wanaotamani Ni Wengi

Wanaotamani kuwa na mafanikio makubwa ni wengi sana. Lakini, wanaofanya ni wachache. Wengi wanatamani kuwa na maisha fulani lakini wanaofanyia kazi kuwa na maisha hayo ni wachache. Habari njema ni kwamba wewe rafiki yangu unaweza kuwa katika upande wa waonafanya ili wapate na siyo wanaotamani. Usitamani mambo yatokee, bali yafanyie kazi ndiyo yatatokea. Kila ambaye …

Usiache Kufanya Hata Kama Unapitia Changamoto

Hata kama unaumwa, sehemu nyingine za mwili wako hazijawahi kuacha kuendelea kufanya kazi zake kama kawaida. Kama unaumwa mafua, hujawahi kusikia moyo ukisema kwa kuwa huyu anaumwa basi ngoja na mimi leo nipumzike. Moyo unaendelea kufanya kazi licha ya wewe kuendelea kuumwa.Hapa unajifunza nini? Kuwa kama mwili wako, sehemu ya mwili ikiumwa siyo kwamba sehemu …

Faida Moja Wapo Ya Kuwa Na Mfumo Wa Kuendesha Biashara

Biashara nyingi huwa zinawategemea wamiliki moja kwa moja, yaani wasipokuwepo basi na biashara nayo inakufa. Tunaona biashara nyingi zinakufa kwa sababu ya wamiliki hawakuacha mfumo wa kuendesha biashara hizo. Biashara nyingi zinaendeshwa kama mmiliki wa biashara ndiyo anakuwa fundi, asipokuwepo fundi basi mambo mengine hayawezi kwenda. Watu wakubwa waliofikia mafanikio makubwa, waliweza kuziacha biashara zao …

Design a site like this with WordPress.com
Get started