Rafiki yangu nikupendaye, Watu ambao unapaswa kuwaheshimu sana hapa duniani ni wateja wako na bosi wako.Kwa sababu hao ndiyo wanafanya maisha yako yaende kwa kukupa fedha ya kuendesha maisha yako.Bila fedha, hata watu wako wa muhimu utashindwa kuwahudumia na hata kukosa heshima yako. Waswahili wanasema, mkono mtupu haulambwi. Bila fedha utakua ni wa kupuuzwa.Ni bora …
Kitu Bora Ambacho Binadamu Anaweza Kufanya
Rafiki, Ili mwili ufanye kazi vizuri, basi lazima kila kiungo kwenye mwili kifanye kazi yake na tena kwa ushirikiano. Asili ya binadamu ni kushirikiana. Ndiyo maana hapa duniani hauko peke yako, bali uko na wengine katika kujega mambo mengine.Aliyekuwa Bilionea Charlie Munger aliwahi kunukuliwa akisema, kitu bora ambacho binadamu yeyote anaweza kufanya ni kuwasaidia binadamu …
Continue reading "Kitu Bora Ambacho Binadamu Anaweza Kufanya"
Utajiri Wa Mtu Uko Hapa
Huwa tunajua kwamba utajiri wa uko kwenye vile anavyomiliki, kile alichonacho. Utajiri wa mtu, uko kwenye kile anachojua na siyo kile alichonacho. Kile anachojua mtu ndiyo kinampa utajiri wa kile kinachowezekana. Utaweza kumnyang'anya mali lakini kile anachojua ambacho ni akili na maarifa aliyonayo atakitumia kukirudisha. Hata leo hii watu wote wakipewa fedha sawa duniani, haitochukua …
Kazi Yako Kubwa Ni Hii Hapa
Rafiki yangu nikupendaye, Kwenye maisha yako, kazi yako kubwa ni kupata unachotaka. Hakuna kitu kingine. Kama kazi yako ni kupata unachotaka, unatakiwa kuweka fokasi kwenye kile unachotaka mpaka ukipate kweli. Unatakiwa kupambana na dunia na kuionesha kwamba kila kitu kinawezekana. Kama kwenye ukoo wenu, hakuna aliyeenda hatua ya ziada, nenda wewe kwa kuwaonesha kwa mfano. …
Bora Kuchukiwa Kuliko kupuuzwa
Ni bora watu wakuchukie kwa sababu ya wewe unajituma kwenye kile unachopaswa kufanya kwenye maisha yako kuliko kupuuzwa. Kupuuzwa maana yake ni kwamba huna unachofanya. Kupuuzwa kunauma kuliko hata kuchukiwa. Watu ambao wanakufanyia ndivyo sivyo kwenye maisha yako, dawa yao ni kuwapuuza. Unapowapuuza watu, kwenye kile wanachokufanyia, wanapoteza nguvu ya kutokuendelea na kile wanachofanya.Kupuuza ni …
Jinsi sheria Ya Parkinson Inavyofanya Kazi Kwenye Maisha Yako
Mwanamafanikio, Sheria ya Parkinson inasema, huwa tunatumia kitu kadiri kinavyopatikana. Kwa mfano, mtu ukiwa na elfu 10 kwa ajili ya kula, utakula chakula elfu kumi. Na ukiwa na elfu tano kwa ajili ya kula utakula chakula cha bei hiyo. Sisi binadamu huwa tuna tabia ya kutumia kitu kadiri kinavyopatikana. Kama kinapatikana kwa wingi basi tutatumia …
Continue reading "Jinsi sheria Ya Parkinson Inavyofanya Kazi Kwenye Maisha Yako"
Mengine Yanapaswa Kusubiri
Rafiki, Kama bado hujaweza kupata kile unachotaka kwenye maisha yako, peleka nguvu zako zote kwenye mambo yenye tija kwako.Na namba moja ikiwa ni lengo lako kuu unalolipambania. Unapambania lengo? Jibu ulilopata ndiyo linapaswa kuwa kipaombele chako cha kwanza..Kama kuna kitu kinakuja kwenye maisha yako na hakina mchango kwenye ndoto yako kubwa uliyonayo, kinaweza kusubiri kwanza.Mengine …
Ni Bora Kuonewa Wivu Kuliko Kuonewa Huruma
Fanya kazi kiasi na upate mafanikio makubwa. Hata watu wakuonee wivu ni sawa kuliko kutokufanya kazi na kuwa na maisha ya shida huku ukisubiria watu wengine wakuonee huruma. Usijionee huruma wala kuwasubiri watu wengine wakuonee huruma.Usipoteze muda kujionea huruma. Watu wengi wamekuwa wanapoteza muda wao kujionea huruma kwa ambayo yametokea kwenye maisha yako. Kamwe usijione …
Continue reading "Ni Bora Kuonewa Wivu Kuliko Kuonewa Huruma"
Aina Tatu Za Kushindwa
Sisi binadamu tuna vitu vingi sana vinavyotuzuia tusiende mbele.Tunapenda kwenda mbele lakini tunakuwa tunajizuia sisi wenyewe kwa kukanyaga breki.Huwa tunafikiri tunaanza kushindwa tu kimatendo lakini siyo kweli. Tunashindwa kwa vitu vingi sana. Kiakili. Kabla hatujashindwa kwa vitendo, tunakuwa tayari tumeshindwa kiakili. Ukishaiaminisha kwamba akili yako huwezi, na kweli hutoweza. Kama unataka ushindi, jiandae kwanza kiakili, …
Jenga Sifa Hii Hapa Itakayokusaidia Kupata Kile Unachotaka
Ni watu wengi ambao walishapita kwako au walipendekezwa na watu fulani kuhusu wewe au mtu mwingine ili wapate huduma au kitu fulani. Siyo mara yako ya kwanza kusikia mapendekezo haya;Hana shida huyo, msaidie. Mpaka watu wakupendekeze kwa watu wengine ili upate huduma au kitu fulani hata kama huna malipo taslimu ujue kuna sifa au mtu …
Continue reading "Jenga Sifa Hii Hapa Itakayokusaidia Kupata Kile Unachotaka"