Hisia Na Fikra

Kwenye maisha kila kitu kina mtegemea mwenzake.Kiasili, tumeumbwa kwa ushirikiano.Kwa mfano, mwili unafanya kazi kwa ushirikiano. Mfano, mikono, miguu na nk. Vile vile kama binadamu, unahitaji kuwa na hisia na fikra. Huwa tunafanya maamuzi kwa hisia, halafu tunakuja kuhalalisha kwa fikra. Hisia na fikra ni vitu ambavyo vinakwenda pamoja.Mtu asipokuwa na hisia ni shida, na …

Kama Hujajua Hili, Utateseka Sana

Rafiki, Kwenye haya maisha usipojua maana ya mafanikio kwako, utaishia tu kuteseka. Usipojua maana ya mafanikio kwako, maisha yanakuwa hayana maana kwako. Kazi yako kubwa kama binadamu ni kujua maana ya mafanikio kwako na utaishi kwa amani. Kuna lile ridhiko kwako unalolipata baada ya kujua maana ya mafanikio kwako. Unaweza kumuona mtu kwa nje amefanikiwa …

Nafasi Ambayo Hupaswi Kuichezea

Rafiki, Kwenye maisha, chochote kile ambacho umeamua kufanya, basi kifanye kwa moyo kiasi kwamba wale ambao wanakutegemea kwenye eneo hilo, wakufurahie. Timiza wajibu wako, ukipata nafasi fulani, itumie nafasi hiyo vizuri. Hata yule aliyekupa nafasi aje akushukuru baadaye. Mpe mtu thamani kubwa, kiasi kwamba aone anadeni kwako.Watu wakusimulie kwa mazuri na siyo mabaya. Acha alama …

Ukijua Vitu Hivi Viwili Utafanikiwa

Rafiki, Kwenye maisha yetu, kile kinachotupa ushindi ni uwezo wetu wa kukamilisha jambo. Kama hatukamilishi jambo, maana yake hakuna ushindi utakaotokea. Ukitaka ushindi, tokea unaamka asubuhi, hakikisha unaanza kukamilisha kitu.Kitendo tu cha kuamka na kutandika kitanda chako, ni ushindi mkubwa. Kama unataka ushindi wowote kwenye maisha yako, hakikisha unakuwa mkamilishaji mzuri wa kile ambacho umekipanga. …

Jua Kila Kitu Kabla Ya Kuwekeza

Kwenye uwekezaji, jua kila kitu kabla hujawekeza. Popote unapotaka kuwekeza fedha yako, hakikisha unafanya kazi moja kubwa ya kujua kila kitu kinachohusiana na pale unapowekeza. Usiwekeze kwa sababu watu wanasema ni uwekezaji mzuri, usiwekeze kwa sababu kila mtu anawekeza, bali jipe muda wa kujifunza kwa undani kuhusu uwekezaji wowote unaotaka kufanya. Katika kitu ambacho unapaswa …

Kazana Na Hiki Hapa

Kwenye maisha, tunapata kile ambacho tunapigania, kile ambacho tunaweka mawazo na nguvu zetu muda mwingi. Hivyo kuishi maisha unayotaka, kazana na yale unayotaka na mengine achana nayo. Kazana na yale unayoyataka na utapiga hatua kwenye maisha yako.Jiepushe na yale ambayo siyo muhimu kwako na weka fokasi kwenye yale ambayo ni muhimu kwako. Utapata kile unachokipambania, …

Utachelewa Kama Hujui

Kama hujui kile unachotaka kwenye maisha yako, utachelewa sana kupata kile unachotaka. Ni kama vile unavyotaka kitu, usipokuwa na vigezo ya vitu unavyotaka, utajikuta hupati kile unachotaka. Kwenye safari ya mafanikio, kitu cha kwanza ni kujua unataka nini. Ukishajua unataka nini, huwezi kuchelewa. Ambaye hajui anataka nini, hawezi kupata.Ukijua nini unataka, utapambana kukipata. Ni muhimu …

Andika Halafu Usimtumie

Kuna wakati unapatwa na hasira kama binadamu pale mtu anapokuwa amekufanyia ndivyo sivyo. Unatamani umjibu vile unavyotaka kadiri ya hisia za hasira ulizokuwa nazo. Na njia nzuri ya kufanya hivyo, ni kumwambia kwa njia ya maandishi.Yale yote unayotaka kumwambia na kumsema ili hasira zako ziishe mwambie kwa njia ya maandishi lakini usimtumie. Mwandikie lakini usimtumie. …

Maisha Yatabadilika Kwa Kitu Hiki Hapa

Rafiki, Kila mmoja wetu anapenda kubadilisha maisha yake. Je, kitu gani ambacho kinaweza kubadilisha mwenendo wa maisha yako? Jibu;Maisha yako hayatabadilika kwa vitu unavyojua.Bali maisha yako yatabadilika kwa vitu unavyofanya. Mpaka sasa unajua vitu vingi, lakini vingapi vimeshakuletea matokeo ? Vile unavyofanya, ndivyo vitakuletea matokeo mazuri unayotaka kuyaona. Vile ambavyo unavijua mpaka sasa vimelisaidiaje? Mwisho, …

Maisha Yatabadilika Kwa Kitu Hiki Hapa

Rafiki, Kila mmoja wetu anapenda kubadilisha maisha yake. Je, kitu gani ambacho kinaweza kubadilisha mwenendo wa maisha yako? Jibu;Maisha yako hayatabadilika kwa vitu unavyojua.Bali maisha yako yatabadilika kwa vitu unavyofanya. Mpaka sasa unajua vitu vingi, lakini vingapi vimeshakuletea matokeo ? Vile unavyofanya, ndivyo vitakuletea matokeo mazuri unayotaka kuyaona. Vile ambavyo unavijua mpaka sasa vimelisaidiaje? Mwisho, …

Design a site like this with WordPress.com
Get started