Rafiki, Maisha ni mfululizo wa changamoto. Haitofikia wakati utasema kwamba changamoto umezimaliza. Changamoto ni sehemu ya maisha yako. Changamoto ni darasa la maisha yako, ili uende darasa lingine lazima ufaulu mitihani na ya darasa husika. Na kama hujafaulu basi utakariri darasa mpaka ufaulu. Kuna wakati tunapitia changamoto au magumu. Tunahitaji kauli nzuri ambazo zitatupa hamasa …
Continue reading "Hizi Ndiyo Kauli Unazopaswa Kujiambia Pale Unapokutana Na Changamoto"