Rafiki, Waombe watu wakusaidie kitu kidogo ili nao wakuombe uwasaidie kitu. Katika maisha, mara nyingi tunajikuta tukijitahidi kufanya kila kitu peke yetu—tunaona kama kuomba msaada ni udhaifu, au tumejengeka katika fikra za "kujitegemea" kupita kiasi. Lakini ukweli ni kwamba, hakuna aliyejenga maisha imara bila kushirikiana na wengine. Maisha ni mahusiano.Kadiri mahusiano yako na wengine yanavyokuwa …
Continue reading "MAISHA NI MAHUSIANO: WAOMBE WATU WAKUSAIDIE ILI NAO WAKUOMBE UWASAIDIE"