Rafiki, (Use Absence to Increase Respect and Honor) Kuna nguvu fulani ya ajabu inayopatikana kwenye kutokuwepo. Ukiwa karibu sana kila wakati, watu wanakuchoka. Ukiwa nadra, watu wanakutafuta, wanakukumbuka, wanakutamani — na wanakuheshimu zaidi. Robert Greene anasema: "Ukijionyesha kila wakati, watu wanakuona wa kawaida. Ukijiondoa kwa muda, unaacha pengo ambalo linakuletea heshima." Hii Inatokea Sana Maishani …
Continue reading "Wape Watu Uhaba — Watu Wakikukosa Wanakuheshimu Zaidi"