Rafiki, Heri ya Mwezi Mpya wa Mei 2025 kwa wanamafanikio wote! Leo ni Mei Mosi – Siku ya Kimataifa ya Wafanyakazi. Ni siku ya heshima kwa nguvu kazi ya dunia; kwa wale wanaoamka kila siku, jua halijatoka, wakajitokeza kutimiza majukumu yao kazini, biashara zao au shughuli za kujitafutia kipato. Bila wafanyakazi, dunia haiwezi kwenda. Tunawapongeza …
Continue reading "Mei Mosi – Siku ya Wafanyakazi na Wito wa Ufanisi Kazini"