Sheria ya 5: Sifa Inategemea Mvuto — Ulinde Sura Yako Kwa Uhai Wako

Rafiki, (So Much Depends on Reputation — Guard It With Your Life) Kwenye dunia hii ya haraka na isiyo na huruma, huna muda wa kujieleza mara mbili. Mara nyingi, watu hawatafuti ukweli wako wote — wanafanya maamuzi kwa kile wanachokiona au kusikia juu yako. Hii ndiyo maana sifa (reputation) ni kila kitu. Robert Greene anatufundisha …

Sheria ya 4: Sema Daima Kidogo Kuliko Inavyotakiwa

Rafiki, (Always Say Less Than Necessary) Watu wengi hupenda kuongea sana wakidhani kuwa ndivyo wataonekana wajanja au wenye maarifa. Lakini mara nyingi, kadri unavyosema zaidi, ndivyo unavyojifunua zaidi — na unapojifunua, unapoteza nguvu yako. Robert Greene anatufundisha kwamba ukinyamaza au ukizungumza kidogo, unaacha wengine wakose uhakika — na katika sintofahamu ndipo nguvu hutawala. Watu wanaoogopa …

Sheria ya 3: Ficha Makusudio Yako

Rafiki, (Never Reveal Your Intentions) Kuna watu wanapenda kusema kila kitu: wanapanga kufanya nini, wana ndoto gani, na hatua yao inayofuata ni ipi. Wanaita hiyo kuwa ni "kuwa wazi" au "kutoa ya moyoni ." Lakini kwenye dunia ya nguvu, hiyo ni silaha inayokuangusha. Ukisema mno, unatoa ramani ya maisha yako bure — na mtu mwenye …

Sheria ya 2: Usiamini Sana Marafiki, Jifunze Kutumia Maadui

Rafiki, Siku hizi, ukiwaamini marafiki kwa kiwango cha juu mno, unaweza kuanguka bila kutegemea. Robert Greene anatufundisha kuwa kwenye dunia ya nguvu, mara nyingi usaliti hauji kwa adui — unakuja kwa mtu uliyempa moyo wako wote kwa jina la urafiki. Marafiki wanaweza kuanza kujiona wana haki fulani juu ya mafanikio yako. Wakiona unapaa, wanaweza kuhisi …

Usifiche Vitu Kwenye Ukungu: Vikabili Ulivyo

Rafiki, Katika maisha yetu ya kila siku, kuna mambo yanayotokea ambayo hatuyapendi. Baadhi ni makosa tuliyoyafanya sisi wenyewe, mengine ni matukio ya kusikitisha yaliyotusibu, au hali zisizofaa tunazojikuta ndani yake. Lakini badala ya kuyakabili kwa ujasiri na ukweli, tunaamua kuyafunika. Tunayatupa kwenye “ukungu” wa akili zetu — mahali pa ndani ambapo tunajifanya kama hayajatokea, kama …

Sheria ya 1: Usimfunike Bosi Wako kwa Kuonekana Bora Zaidi Yake

Rafiki, (Never Outshine the Master) Katika ulimwengu wa nguvu, mafanikio yako yanaweza kuwa sumu kwako endapo yatamfanya mtu wa juu yako ajisikie tishio. Robert Greene anatufundisha kuwa kamwe usimuonyeshe bosi wako au mtu mwenye mamlaka kuwa wewe ni bora kuliko yeye, hata kama unaweza. Watu wenye mamlaka mara nyingi huwa na hofu ya kupitwa. Ukionyesha …

Usiwaruhusu Watoto Wako Wafanye Kitu Kitakachokufanya Uwachukie

Rafiki, Moja ya majukumu makubwa na ya heshima tuliyopewa kama wazazi ni kuwalea watoto. Lakini si tu kuwalea kwa kuwapa chakula, malazi na elimu. Ni zaidi ya hapo—ni kuwalea katika msingi wa maadili mema, nidhamu na heshima. Wazazi wengi hudhani kuwa upendo kwa mtoto ni kule kumfurahisha kila wakati. Kumkubalia kila kitu. Kumkingia kifua kila …

Iweke Nyumba Yako Vizuri Kabla Hujakosoa Dunia

Rafiki, Kukosoa ni rahisi sana. Ni rahisi kuinyooshea kidole dunia na kusema “hawafanyi vizuri,” “wanaharibu nchi,” au “jamii imeharibika.” Lakini mara ngapi tunajiuliza, nimefanya nini kuboresha mazingira yangu ya karibu? Tunataka mabadiliko makubwa duniani, lakini hatuko tayari kutengeneza vitanda vyetu kila asubuhi. Tunaishi kwenye kizazi ambacho kila mtu ana maoni, lakini wachache wana mfano wa …

MAISHA NI MAHUSIANO: WAOMBE WATU WAKUSAIDIE ILI NAO WAKUOMBE UWASAIDIE

Rafiki, Waombe watu wakusaidie kitu kidogo ili nao wakuombe uwasaidie kitu. Katika maisha, mara nyingi tunajikuta tukijitahidi kufanya kila kitu peke yetu—tunaona kama kuomba msaada ni udhaifu, au tumejengeka katika fikra za "kujitegemea" kupita kiasi. Lakini ukweli ni kwamba, hakuna aliyejenga maisha imara bila kushirikiana na wengine. Maisha ni mahusiano.Kadiri mahusiano yako na wengine yanavyokuwa …

Kama Hujui Cha Kufanya, Fanya Hiki

Rafiki, Katika dunia ya leo yenye mabadiliko ya kasi, swali la mara kwa mara linalowakumba watu wengi ni: "Nifanye nini sasa?" Kwa wale wanaotafuta mafanikio au wanapambana na changamoto, usemi wa Alex Hormozi unatupatia mwanga: "If you don’t know what to do, the answer is to learn."(Ukijikuta hujui la kufanya, jibu ni kujifunza.) Huu ni …

Design a site like this with WordPress.com
Get started