Habari ya wakati huu mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu hujambo na unaendelea vizuri rafiki yangu. Hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo katika maisha yako itumie vizuri kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi mimi na wewe. Aidha, natuamini umeanza siku yako kwa hamasa na ushindi mzuri. …
Continue reading "Hili Ndilo Deni Unalodaiwa Na Dunia Unalopaswa Kulilipa Kabla Ya Kwenda Kaburini"