Habari mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri rafiki yangu na hongera kwa zawadi ya siku hii ya leo hivyo basi, tunaalikwa sisi sote kuweza kumshukuru Mungu na kutumia muda wetu vizuri katika mambo chanya. Kumbuka kuwa ukipoteza siku ya leo huwezi kuipata tena mpaka pale unapoaga dunia. Mpendwa msomaji, …
Continue reading "Ujumbe Muhimu Sana Kwako Kutoka Kwa Papa Francis"