Ukiangalia maisha ya watu wengi kwa makini, utagundua kitu kimoja. Hawajaamua kwa makusudi wanataka maisha yao yaweje. Maisha yao yanaenda tu kulingana na mazingira. fursa zinapotokea wanajaribu changamoto zinapotokea wanarekebisha mwaka unapopita wanajikuta tu umeenda Na polepole miaka inapita. Bila mpango wa maisha, ni rahisi sana kuishi kwa mazoea. Hatari ya Kuishi Bila Mwelekeo Mtu …
Continue reading "March 15 — Watu Wengi Wanaishi Kwa Bahati, Siyo Kwa Mpango"