Yoyote ambaye hataki maisha mazuri, Hataki kuwa na mali, fedha na kufanya kile anachotaka katika maisha yake huyo hayuko sawa kiakili. Kila mmoja anahitaji maisha mazuri na maisha mazuri yapo kama una fedha. Kama huna fedha huwezi kupata kile anachotaka, huwezi kula kile unachopenda. Ni ushahidi wa wazi kabisa kuwa fedha inafanya maisha yetu kuwa …
Continue reading "Huyu Ndiye Mtu Ambaye Hana Shida na Fedha"