Kama Umechoka Maisha Unayoishi Sasa

Rafiki yangu, Jinsi maisha yetu yalivyo sisi ndiyo tumekubali yawe jinsi yalivyo. Hakuna mtu wa kubadilisha maisha yetu kuwa vile tunavyotaka kuwa isipokuwa sisi wenyewe. Sisi ndiyo wakurugenzi wa maisha yetu. Hivyo kama kuna kitu tunataka kukibadilisha tunakibadilisha haraka sana. Kama umechoka na maisha unayoishi sasa chukua hatua ya kuyaweka vile unavyotaka wewe. Mambo hayawezi …

Ili Ufanikiwe Kwenye Kile Unachofanya Unatakiwa Uwe Na Kitu Hiki

Rafiki yangu, Katika mafanikio kuna mambo mengi sana. Mpaka unamuona mtu ana simama ujue amepitia mengi. Kuna maumivu ndani yake ambayo mtu anayavumilia mpaka pale anapopata ushindi. Ili tuweze kufanikiwa kwenye kile tunachofanya lazima tuwe na watu wa namna hii ambao ni; Tuwe na watu ambao wanajali kile tunachofanya. Kama hutoweza kupata watu wanaojali, bidhaa …

Faida Moja Ya Kuhudumia Watu

Mpemdwa rafiki yangu, Wito wetu uko katika kuhudumia watu. Tunapohudumia watu tunapata kutimiza amri kuu ya upendo na kuishi maisha yenye maana. Je ulishawahi kujiuliza upendo wa kweli unapatikana wapi? Upendo wa kweli unapatikana katika kuhudumia watu. Kumbe basi, tunapohudumia watu tunapata upendo wa kweli. Faida ya kuhudumia watu ni upendo wa kweli. Bila kuwahudumia …

Kitu Ambacho Hutakiwi Kukizoea Hata Siku Moja

Kila siku unatakiwa kuwa mpya kwenye kile unachofanya. Haijalishi umefanya kwa muda gani ila hutakiwi kukizoea kile unachofanya. Ona kile unachofanya ni kama siku yako ya kwanza kufanya. Tunapokuwa na hali ya mazoea tunashindwa kufanya makubwa kwa sababu ya mazoea tunayoweka. Ogopa kuwa kawaida kwenye kile unachofanya. Kuwa mtu makini unapofanya kitu kifanye bila kuweka …

Fuata Sheria Elekezi Za Sehemu Hii na Utafanikiwa sana

Huwa tunashindwa katika maisha kwa sababu ya kutotii sheria elekezi za sehemu husika. Maisha ni kama mchezo na kila mchezo huwa unakuwa na sheria elekezi za mchezo husika. Kwa mfano, kwenye mpira wa miguu, ukicheza kwa mikono utapewa adhabu kama wewe siyo goli kipa. Tukija katika biashara ziko sheria na misingi elekezi ya biashara ambazo …

Usivumilie Kama Unaweza Kuchukua Hatua

Rafiki, Kama kuna kitu kina kusumbua na unajua dawa yake ni bora kuitumia hiyo dawa kumaliza tatizo. Usivumilie kitu ambacho unaweza kukibadilisha. Kwa mfano, kama kuna mtu umekaa naye sehemu anavuta sigara na wewe inakukera unatakiwa kumwambia kuwa sigara anayovuta inakukera au kama unashindwa kumwambia hama na nenda sehemu ambayo hakuna sigara. Usivumilie maisha bali …

Huwa Unafanya Kitu Hiki Unapotoka Nyumbani?

Rafiki, Maisha ni furaha na kila siku unapotoka kwenye mlango wa nyumba unayolala unapaswa kuwa na furaha. Na je furaha hiyo unaipataje sasa? Furaha hiyo unaipata kwa njia hizi. Kwanza, chagua kuwa na siku bora na yenye furaha kwako. Jitakie matashi mema kama vile Mimi ni mshindi na nimezaliwa kushinda. Leo ni siku bora na …

Hiki Ndiyo Kitu Utakachopata Ukiwa Ni Mtu Wa Kutaka Mambo Yaende Kama Vile Unavyotaka

Rafiki yangu, Tukiwa ni watu wa kutaka kila kitu kiende kama vile tunavyotaka sisi ni kama vile tumejiandaa kushindwa. Kuna wakati hatuwezi kupata matokeo yale tunayotaka. Kuna wakati tunagemea matokeo fulani kutoka kwa watu wetu wa karibu lakini cha kushangaza unakuta mambo yanakwenda tofauti na tulivyotegemea. Kuna wakati tunategemea wale tunaowadai watatulipa lakini mambo yanakwenda …

Jinsi Ya Kupata Kile Unachotaka Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Ukitaka kushindwa katika maisha basi ishi bila kujua kile unachotaka. Kanuni moja ya mafanikio ni kwanza jua kile unachotaka. Ni nani kati yetu anaweza kwenda dukani kununua mahitaji halafu anafika pale hajui kile anachotaka? Hivi kama hujui kile unachotaka dunia itakusaidiaje? Kama huulizi utajibiwaje? Kama huna unachoomba utapewa nini sasa? Kama hujui …

Hiki Ndiyo Chanzo Cha Kutokuwa Na Matokeo Mazuri Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako

Mpendwa rafiki yangu, Kama bado hujapata kile unachotaka kuna chanzo kimoja ambacho ndiyo ninakwenda kukuelezea hapa kwanini bado hujakipata. Sisi binadamu ni wazuri sana kwenye kupanga lakini kuchukua hatua ndiyo kuna shida kubwa, kama ingekuwa tunakuwa vile tunavyotaka kwa njia ya mdomo tu basi kila mtu angekuwa tajiri kwenye kila eneo analotaka kwenye maisha yake. …

Design a site like this with WordPress.com
Get started