Huu Ndiyo Msingi Ambao Kila Kiongozi Anapaswa Kuwa Nao

Habari njema ni kwamba kila mtu ni kiongozi hapa duniani, hata kama huna watu unaowaongoza lakini kuna mtu ambaye unamuongoza ambaye ndiyo wewe mwenyewe.  Kila siku unajiongoza na unafanya vizuri kwa uthibitisho huo wewe ni kiongozi na ni mkurugenzi wa maisha yako. Hivyo ninapokuambia  wewe ni kiongozi furahia na wala usibishe kwani hilo halina ubishi …

Huwezi Kutoa Kama Huna

Kila siku ukiamka, ukisiliza radio, ukiwasha tv, ukitembelea sehemu ambazo watu wanafanya mauzo ya vitu lazima utakutana na watu wanaokushawishi wewe utoe kitu. Na mara nyingi sana dunia inatushawishi kila siku namna ya kutoa fedha zetu. Ni mara ngapi vyombo vya habari vinakutangazia namna ya kupata fedha?Lakini mambo yanakwenda kinyume kabisa matangazo mengi na watu …

Hii Ndiyo Maana Ya ujasiri Kadiri Ya Plato

Katika haya maisha muda mwingine hata kuishi ni ujasiri alisema mwanafalsafa wa kistoa Seneca. Ni kweli kuishi ni ujasiri kwani hizi changamoto za dunia wako wengine wanashindwa kukabiliana nazo na hata kuamua kujiua kabisa. Kumbe basi, kama wewe unaendelea kuishi jipe hongera kwani unakutana na mengi lakini bado unapambana bila kushindwa. Mwanafalsafa Plato naye alikuwa …

Hii Ndiyo Asili Ya Dunia

Rafiki, Hata upange mipango mizuri kiasi gani wala dunia haijali hilo. Unapopanga na dunia inapanga hivyo, haitokufikiria wewe muda wote bali asili huwa inapanga vile inavyotaka na siyo vile tunavyotaka sisi. Tunapaswa kulijua hilo, kama dunia ingekuwa inamsikiliza kila mtu una fikiri mambo yangekuwaje? Mwingine anataka mvua, mwingine jua. Kwa asili dunia inajiendesha kwa misingi …

Hiki Ndiyo Kitu Cha Kuepuka Pale Unapojenga Timu

Pale tunapojenga kitu tunatumia nguvu nyingi, fedha nyingi na muda hivyo ukiangalia ni rasilimali nyingi. Lakini pale unapotaka kubomoa kitu ni dakika tu. Kwa mfano, kujenga jina ni kazi, unatumia kila aina za rasilimali lakini kuvunja jina hachukui sekunde. Vivyo hivyo katika kujenga timu, tunapojenga timu tunatumia nguvu nyingi. Na timu ninazozungumzia hapa ni timu …

Huu Ndiyo Ushauri Wa Mwanafalsafa Epictetus Kwa Wale Wote Wanaotaka Kupiga Hatua

Hakuna kitu ambacho unaweza kufanya na kumfurahisha kila mtu. Kila binadamu ana maoni yake kwenye kila kitu. Haitokuja kutokea hata siku moja utaweza kumfurahisha kila mtu. Ila mtu pekee ambaye unaweza kumfurahisha hapa duniani ni wewe mwenyewe. Katika suala la mafanikio, kila mtu ana njia zake. Kila mtu ana hadithi zake hivyo hadithi zetu katika …

Jinsi Ya Kutumia Utani Ili Kukuzuia Usipate Hasira Na Kutumia Nafasi Yako Vibaya

Binadamu sisi  ni viumbe wa hisia, hivyo vitu kama hasira ni kitu cha kawaida sana. Na wako ambao wanatumia nafasi zao vibaya kwa sababu ya kuwa na chuki na mtu fulani sasa ikitokea mtu huyo ni kiongozi anatumia nguvu yake ya uongozi kumuumiza yule wa chini yake. Katika falsafa ya ustoa tunaalikwa kujiandaa na lolote …

Unaweza, Ni Suala La Kuamua Tu

Katika hii dunia kila mtu anaweza kuwa vile anataka kama mtu huyo akiamua kufanya kile anachotaka. Watu wengi wanaweza ila hawafanyi kwa sababu hawajaamua. Unajua kuamua ndiyo hatua ya kwanza ya kufikia mafanikio yako.Usipoamua hakuna kizuri kitakachokuja kwako. Binadamu wanafanya vizuri sana pale wanapoamua wao wenyewe kufanya. Binadamu hafanyi vizuri kama akilazimishwa kufanya ila akiamua …

Hii Ndiyo Hatua Ya Kuchukua Pale Fedha Inapokuwa Ngumu Kwako

Iko hivi rafiki yangu, fedha Inapokuwa nyingi kwenye mzunguko inakuwa rahisi kupatikana. Lakini pia na thamani yake inakuwa ndogo, mtu unaweza kuwa na fedha nyingi lakini haina thamani kubwa na tumaini hili umeshawahi kukutana nalo, unakuwa na fedha nyingi lakini inakuwa haina thamani.Unaweza ukawa na fedha nyingi lakini vitu vikawa ghali sana licha ya wewe …

Ifahamu Sababu Kuu Moja Kwanini Watu Wanaahirisha Mambo

Sisi binadamu tuna asili ya uvivu. Hivyo pale tunapohisi kutokufanya kitu  tunatafuta sababu ya kuacha, tunaacha kufanya na tunatii miili yetu vile inavyotaka na hapa ndiyo maana wengi wanapotea. Tunatakiwa tuwe tunaitawala miili yetu na siyo sisi kutawaliwa na miili yetu. Sababu kuu moja ambayo inatufanya tuahirishe mambo yetu ni moja ambayo ni kwamba tunaahirisha …

Design a site like this with WordPress.com
Get started