Kazana na yale unayotaka tu. Na mengine achana nayo. Kwenye maisha unapata kile unachokipigania. Kile ambacho unaweka mawazo, nguvu na muda mwingi. Jitoe kwa kile unachopenda kwenye maisha yako. Kwa sababu kwa chochote kile unachofanya na kukipenda utakifanya vizuri sana. Watu wanaopenda wanachofanya huwa hawafanyi kazi. Kwa sababu wanapenda kile wanachofanya hivyo na anafanya kwa …
Hiki Ndicho Kinachotokea Baada Ya Kutunga Mimba Ya Umbea
Unaweza kusema katika jamii yako unayoishi iko salama kabisa kwa sababu hakuna magaidi kama vile boko haramu. Lakini, ukweli ni kwamba tunao magaidi wengi wa umbea ambao wanasabisha madhara makubwa katika mahusiano yetu na jamii kwa ujumla. Umbea unachafua hali ya hewa nyumbani, makazini, kanisani, msikitini yaani kila mahali. Unawapoteza watu na kushindwa kuelewana. Ulimi …
Continue reading "Hiki Ndicho Kinachotokea Baada Ya Kutunga Mimba Ya Umbea"
Huyu Ndiyo Mtu Unayemfanyia Kazi
Ukiwa umejiajiri au umejiajiriwa usije ukafikiria kuwa kazi unayoifanya unamfanyia mtu mwingine. Kazi yoyote ile unayoifanya au kitu chochote kile unachofanya unajifanyia mwenyewe na humfanyii mtu. Kazi ikiwa nzuri au ikiwa mbaya sifa zote zinaenda kwako. Hivyo basi, kwa chochote kile kinachopita mkononi mwako hakikisha unakifanya kwa ubora wa hali ya juu. Maana ukikifanya kwa …
Chochote Kinaweza Kutokea Leo
Aliyekuwa mwanafalsafa wa falsafa ya ustoa mwanafalsafa Seneca enzi za uhai wake aliwahi kusema chochote kile kinachoweza kutokea muda wowote kinaweza kutokea leo. Kila siku unapoamka unapaswa kujikumbusha hilo kwamba chochote kinaweza kutokea muda wowote ule. Hakuna jambo ambalo watu huwa wanaliogopa hata kulisikia kama kifo. Ni wazi kwamba kifo ni kitu cha uhakika kuliko …
Usiwe Bize Kutengeneza Kitu Hiki Hapa
Badala ya kuwa bize kupambana ili upate kile ambacho unataka lakini kuna watu wako bize kutengeneza visingizio. Usiwe bize kutengeneza visingizio. Inatosha sasa. Fanya kazi na matokeo yaonekane. Usiwe miongoni mwa watu kila mwaka wamekuwa ni watu wa sababu. Ukiwa ni mtu wa kutafuta sababu ili kukwepa kuwajibika utazipata kweli sababu kwani mtafuta sababu huwa …
Kwa Nini Hupati Kile Unachotaka Kwenye Maisha Yako?
Kwa sababu hujajitoa bila kujibakiza kupata kile unachotaka. Kama umejitoa kweli kwa nini usipate? Unajitoa nusu nusu ndiyo maana hufanikiwi. Hujajitoa sadaka, unajionea huruma sana unachukua hatua za kawaida sana. Usitegemee kufanya kazi siku tano za wiki na masaa nane kwa siku halafu unategemea kufanikiwa. Dunia haina upendeleo inampa mtu kadiri anavyojituma kwenye kile alichojitoa. …
Continue reading "Kwa Nini Hupati Kile Unachotaka Kwenye Maisha Yako?"
Kauli Ya Kujiambia Kila Siku Asubuhi Kama Unataka Kuongeza Kipato Chako
Kipato hakijawahi kuongeza kwa njia ya malalamiko. Kila mmoja wetu anataka kupata kipato zaidi kwa sababu maisha yanapanda hivyo na wewe unapswa kupanda kwa sababu wewe siyo mti ni binadamu unaweza kufanya chochote kile na ukasonga mbele. Ni nani ambaye hapendi kupata kipato zaidi? Kama unapenda basi tuende pamoja. Kama hupendi kipato zaidi acha kuendelea …
Continue reading "Kauli Ya Kujiambia Kila Siku Asubuhi Kama Unataka Kuongeza Kipato Chako"
Ufahamu Wasifu Wa Aliyeandika Dibaji Ya Kitabu Cha Kwa Nini Umezaliwa Kushinda
Ni jambo la kumshukuru Mungu kuishi zama hizi kwa sababu katika zama hizi tuna bahati kubwa ukilinganisha na wale watu walioishi miaka 100 iliyopita. Shukrani kwa mtandao wa intaneti ambao umenisaidia kukutana na watu ambao wananisaidia kukamilisha ndoto yangu. Kupitia mtandao wa wasapu ndipo nilipoweza kukutana na Professor Innocentus Alhamis na hatimaye kuweza kuandika dibaji. …
Continue reading "Ufahamu Wasifu Wa Aliyeandika Dibaji Ya Kitabu Cha Kwa Nini Umezaliwa Kushinda"
Epuka Kitu Hiki Kama Unahitaji Kufanikiwa
Mafanikio yoyote yale unayojua hayapatikani kirahisi. Kila mafanikio unayopata ujue umeweka kazi. Kama ingekuwa mambo ni marahisi, kila mtu angefanya. Ukitaka kufanikiwa kwenye kile unachotaka epuka demokrasia. Demokrasia haiwezi kukupa kile unachotaka kwenye maisha yako. Usijipe sababu za kidemokrasia kama unataka kufanikiwa. Demokrasia inabembeleza. Na mafanikio hayahitaji kubembeleza bali yaani hitaji lazima. Kama unataka kupiga …
Continue reading "Epuka Kitu Hiki Kama Unahitaji Kufanikiwa"
Sehemu Nzuri Ya Kuanzia Kuuza
Usifungue biashara kisha ndiyo uanze kutatuta wateja. Hapa ndiyo mahali ambapo watu wengi wanakosea. Kabla hujafungua biashara hakikisha soko linakujua. Na unapofungua biashara inakua ni ukamilifu wa biashara yako. Soko limeshakujua kwahiyo kazi ni kufanya kazi. Ni kazi kufanya biashara kama soko halikujui. Na soko huwa halina huruma. Kama hujajitangaza na kukujua vizuri utalilaumu bure …