Umbali si hoja, hatua ya kwanza ndiyo ngumu aliwahi kusema Mari de Vichy-Chamrond Marquise du Deffand. Ukitaka kufika mbali fanya juhudi ya kuanza tu. Usiangalie umbali unaotakiwa kufika bali wewe angalia hatua moja unachokua kila siku. Mwanzo ni mgumu kweli, lakini jaribu kupiga hatua ya kwanza na ugumu utaondoka wenyewe. Kuchukua hatua ya kwanza ni …
Nenda Leo Kaandike Historia Hii Hapa Muhimu Kwenye Maisha Yako
Huwa ni kawaida ya binadamu kuandika historia. Wengine wanaandika historia nzuri na wengine historia mbaya. Tumekuwa siyo watu wa kuandika historia nzuri za maisha yetu ya kiroho. Leo ninakusihi sana ondoka hapo ulipo na nenda kamwambie mtesi wako nisamehe nimekosa. Historia nzuri unayopaswa kuiacha leo ni wewe kwenda kumsamehe yule aliyekukosea. Huna haja ya kumsubiria …
Continue reading "Nenda Leo Kaandike Historia Hii Hapa Muhimu Kwenye Maisha Yako"
Huwezi Kutenganisha Vitu Hivi Viwili
Watu wengi wanatumia nguvu kutenganisha kati ya jina, tabia na mtu. Huwezi kutenganisha jina lako na tabia yako. Kwa mfano, wewe unaiba halafu unalazimisha uitwe muungwana na badala ya mwizi. Tabia hutenganisha jina la kweli la mtu. Ukitaka kuitwa mwalimu basi uwe na tabia za kweli za mwalimu. La sivyo watu watakudharau kukuita mwalimu, wakati …
Njia Rahisi Ya Kujibariki
Jibariki kwa maneno yako mwenyewe. Kiasili wewe tayari umezaliwa na baraka kwani baraka ni nguvu ya asili kutoka kwa Mungu inayofanya kazi ndani yako. Kwa kujua au kwa kutokujua. Maneno yana nguvu sana.Yanaweza kujenga au kubomoa. Yanaweza kubariki au kulaani. Waswahili wanasema, neno litokalo halirudi. Hii ni methali ya kiswahili. Ni sawa na kusema kwamba …
Uhakika Wa Ushindi Utakuwepo Endapo Kitu Hiki Kitakuwa Kimefanyika
Endapo kazi itakuwa imefanyika. Hakuna uhakika wa ushindi kama kazi haijafanyika. Usijiwekee uhakika wa kupata ushindi wakati huna kazi uliyoweka. Uhakika wa kupata kile unachotaka ni kazi uliyoweka juu ya ushindi unaotaka. Ukifanya kazi lazima utapata uhakika. Kwa kazi hii niliyofanya lazima nitapata ushindi. Je, una uhakika wa kupata ushindi wowote ule leo? Kama jibu …
Continue reading "Uhakika Wa Ushindi Utakuwepo Endapo Kitu Hiki Kitakuwa Kimefanyika"
Usiseme Haliwezekani Kufanyika
Kama kuna kitu huwezi, kaa pembeni waachie wanaoweza kufanya. Fanya kile unachoweza na usichokiweza waachie wanaoweza kufanya kazi hiyo. Ukisema huwezi, kuna watu wanaweza. Albert Hubbard aliwahi kusema, dunia inakwenda haraka sana siku hizi mtu anaposema haliwezekani kufanyika kwa kawaida anakatizwa na mtu anayelifanya. Dunia inakwenda kwa kasi, unachosema hakiwezekani kinawezekana. Huenda hakiwezekani kwako tu …
Kumdunisha Mwingine Ni Kujidunisha Wewe Mwenyewe
Kile tunachofanya kwa wengine kiwe kizuri au kibaya lazima kiturudie kwa namna yoyote ile. Kwa sababu, asili huwa ina tabia ya kumlipa mtu kwa kile anachotoa kiwe kizuri au kibaya. Kuwa makini sana kile unachowafanyia wengine. Kumdhalilisha mtu mwingine ni kujidhalilisha. Kwani watu watajiuliza watajisemea moyoni kama ameweza kuyasema ya wengine namna hii vipi mimi …
Continue reading "Kumdunisha Mwingine Ni Kujidunisha Wewe Mwenyewe"
Leo Ahirisha Sala Yako Na Sali Sala Hii Hapa
Ni kawaida ya watu wengi kuangalia nini wamekosa badala ya kushukuru kwa vile alivyonavyo. Iko nguvu kubwa sana katika sala ninayokwenda kukuambiwa leo. Na sala hiyo siyo nyingine bali ni kushukuru. Kushukuru ni kuomba tena. Leo ahirisha kusali kile unachosali kila siku. Na sali sala ya kushukuru tu. Kushukuru ni kuomba baraka tena. Ni kuhesabu …
Continue reading "Leo Ahirisha Sala Yako Na Sali Sala Hii Hapa"
Jenga Utaratibu Huu Kwenye Maisha Yako
Bado watu wengi hawajijengea utaratibu wa utoaji. Utoaji umekuwa ni changamoto miongoni mwa watu wengi. Utoaji mzuri ni ule ambao mtu anatoa bila kusukumwa na mtu. Hakuna mtu ambaye ni masikini wa kutupwa hana kitu cha kutoa. Hakuna mtu ambaye ni tajiri sana ambaye hana kitu cha kupokea. Jenga utaratibu wa utoaji. Jenga utaratibu wa …
Acha Tabia Hii Mara Moja
Kutoka katika kitabu cha matatizo si matatizo kilichoandikwa na Fr Dr Faustine Kamugisha mwandishi anasema hivi, wakati unateseka uepuke kudhania vibaya wengine. Kwa nini ?Kwa sababu unaowadhania vibaya wapo wanakutetea na kukulinda. Hii imetokana na hadithi ya mama mmoja ambaye alikuwa na mmoja wake mzuri ambaye alikuwa anamtumia kama msaidizi wa kukaa na mwanae. Mbwa …