Habari rafiki yangu, Aliyekuwa mwandishi na mchekeshaji kutoka nchini Marekani Mark Twain aliwahi kunukuliwa akisema kuna siku mbili muhimu sana kwenye maisha ya kila mwanadamu. Siku ya kwanza ni ile siku anayozaliwa, na siku ya pili ni ile siku ambayo anajua kwa nini amezaliwa. (“The two most important days in your life are the day …
Kama Unataka Kupata Kile Unachotaka, Jenga Nguvu Hii
Jenga nguvu ya ushawishi. Kama huna ushawishi ni ngumu kukubaliana na mtu yeyote yule. Kama huna nguvu ya ushawishi huwezi kuuza kitu chochote kile. Kwenye majadiliano yoyote yale, mwenye nguvu ya ushawishi ndiye anapata kile anachotaka. Hakikisha unakuwa na ushawishi kwenye kile unachofanya kiasi kwamba watu wawe tayari kukupa kile unachotaka kwenye maisha yako. Muda …
Continue reading "Kama Unataka Kupata Kile Unachotaka, Jenga Nguvu Hii"
Mawazo Kumi Ya Kuwa Na Siku Bora
Pata Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa Na Zawadi Inayodumu Mpaka Kesho
Habari rafiki yangu nikupendae, Leo ninayo habari njema kwa wakazi wa Dar Es salaam, kuanzia leo kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa kinapatikana jijini Dar Es salaam huna haja tena ya kutuma na nauli wewe ni kutoa tu oda nahitaji kitabu na kuletewa kitabu hapo ulipo. Tumekusogezea huduma karibu na kazi hii itakuwa inafanywa na …
Continue reading "Pata Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa Na Zawadi Inayodumu Mpaka Kesho"
Sehemu Ambayo Hupaswi Kukaa Kwenye Foleni
Tokea tunazaliwa mpaka tumekua, tumekaririshwa kukaa kwenye foleni na siyo kuruka foleni. Leo nakwenda kukushirikisha sehemu ambayo hupaswi kukaa kwenye foleni. Badala yake ruka foleni au chepuka. Usibaki kwenye njia kuu maana utachelewa kufika. Eneo ambalo hupaswi kukaa kwenye foleni ni eneo la kipato. Yaani kama kila mwisho wa mwezi kipato chako ni kile kile …
Continue reading "Sehemu Ambayo Hupaswi Kukaa Kwenye Foleni"
Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Watu Wengi Wanapenda Kupata
Ni uhakika.Watu wakipata uhakika huwa wanapata utulivu wa ndani. Hata mteja yeyote yule akishahakikishiwa uhakika na muuzaji na kumpa ushuhuda anakuwa hana shaka tena. Anapata utulivu wa ndani na kuendelea kufanya yake. Watu wengine wanaogopa au kuchelewa kufanya maamuzi kwa sababu ya hofu ya kushindwa kupata uhakika.Mtu anakuwa anajiuliza hivi nikilipia nitapata kile nachotaka au …
Continue reading "Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Watu Wengi Wanapenda Kupata"
Jinsi Ya Kupata Utulivu Wa Akili
Tunaishi katika zama za kuvurugwa na mitandao ya kijamii. Watu wanakosa utulivu wa akili kwa sababu ya kutingwa na mambo mengi ya kidunia. Yaani kila siku mikimiki, mtu hatulii akatulia kwa sababu ya mambo ambayo hata hayana faida kwake. Siyo kila mtu ambaye yuko bize anazalisha faida. Wengine wako bize kweli lakini hawana wanachozalisha zaidi …
Kila Siku Unapaswa Kuitumia Kanuni Hii
Kifupi rafiki yangu, kila siku unatakiwa uwe bora zaidi ya jana. Yaani siku zako mbili zisifanane. Kama unataka siku zako mbili zisifanane unatakiwa kutumia au kuishi kanuni moja inayojulikana kama kanuni ya Kaizen Rule. Kanuni hii ikoje kwani? Hii kanuni inasema hivi, never ending improvement, yaani uwe na maboresho kila siku. Isifikie mahali ukasema sasa …
Jinsi Ya Kukabiliana Na Changamoto Ya Wategemezi Wengi Uliokuwa Nao
Katika jamii zetu ni ngumu watu kukosa utegemezi. Kama hutegemewi na wazazi, utategemewa na watoto, ndugu nk. Hata kama unawapenda sana wazazi na ndugu zako kiasi gani unapaswa kuwa na kiwango katika usaidizi wako. Utajikuta huendi mbele kwa sababu na wewe pia unahitaji kutengeneza maisha yako. Lakini hupaswi kulalamika kuwa huendelei kwa sababu nimekuwa na …
Continue reading "Jinsi Ya Kukabiliana Na Changamoto Ya Wategemezi Wengi Uliokuwa Nao"
Njia Bora Ya Kupata Msaidizi Kwenye Biashara Yako
Kazi ya kushughulika na watu ni kazi ngumu duniani. Dunia kwa sasa inapambana kutengeneza maroboti ili yaweze kufanya zile kazi ambazo watu wanazifanya. Kwa sababu watu wanasumbua na ni pasua kichwa kweli. Mtu atakuambia sina kazi mpe kazi halafu utaona namna anavyofanya kazi zake kimazoea. Watu wanapenda kupata fedha lakini hawako tayari kuzalisha thamani ya …
Continue reading "Njia Bora Ya Kupata Msaidizi Kwenye Biashara Yako"