Design a site like this with WordPress.com
Get started

Pata Kitabu Cha Ijue Njaa Ya Wanandoa Na Zawadi Inayodumu Mpaka Kesho

Habari rafiki yangu nikupendae, 

Leo ninayo habari njema kwa wakazi wa Dar Es salaam, kuanzia leo kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa kinapatikana jijini Dar Es salaam huna haja tena ya kutuma na nauli wewe ni kutoa tu oda nahitaji kitabu na kuletewa kitabu hapo ulipo. 

Tumekusogezea huduma karibu na kazi hii itakuwa inafanywa na wakala wetu Mr Anesius Juvenari.  Yuko tayari kukuhudumia naomba umpatie oda akuletee hapo ulipo namba yake ni +255 679 931 179.

Bei ya kitabu ni shilingi elfu 15 na ukinunua kitabu kuanzia leo mpaka jumapili utapata zawadi nzuri sana kwa sababu Julai 18 itakuwa ninaadhimisha kumbukizi yangu ya kuzaliwa. 

Ukiwa mkoa wowote Tanzania tunakutumia na kukufikia hapo ulipo.

Hatua ya kuchukua leo; usiache kusoma vitabu, pata nakala ya kitabu cha Ijue Njaa Ya Wanandoa na nogesha mahusiano yako. 

Rafiki na mwalimu wako, Mwl. Deogratius Kessy 0717101505/0767101504 https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: