Watu Wanapenda Kusikia Vitu Hivi Kwenye Safari Ya Mafanikio
Wanapenda kusikia vitu vizuri na vya kuhamasisha.Lakini kwenye uhalisia wa mafanikio mambo ni tofauti kabisa. Watu wanapenda kuona matokeo mazuri lakini hawataki kusikia mchakato wa mafanikio makubwa. Mchakato wa mafanikio yoyote yale una maumivu ndani yake. Hakuna mafanikio utakayopata bila kuwa na maumivu ndani yake. Mafanikio pia yana maana tofauti, mafanikio yana maana pana sana, …
Continue reading "Watu Wanapenda Kusikia Vitu Hivi Kwenye Safari Ya Mafanikio"
Sifa Kubwa Ya Maandalizi Mazuri
Kila mmoja wetu huwa anafanya maandalizi kwenye maisha yake. Jambo lolote lile linalokuwa mbele yetu, kibinadamu lazima tuandae mazingira ya namna ya kukabiliana na jambo hilo. Maandalizi ni kitu muhimu sana kwa sababu kupitia maandalizi mazuri ndiyo yanaweza kutuwakilisha sisi vizuri. Bahati ni pale fursa inapokutana na maandalizi mazuri. Hivyo basi, ili uweze kukutana na …
Jifunze Namna Ya Kuwa Na Fedha Nyingi
Kila mmoja anapenda fedha kwa sababu fedha ni muhimu inatusaidia kuendesha maisha yetu pamoja na kulipa bili mbalimbali. Kwenye kitabu cha Biblia kinasema fedha ni jawabu la mambo yote. Lakini, fedha ni ulinzi. Kumbe basi, fedha ni muhimu sana kwetu na hilo halina ubishi. Usisubiri mpaka uwe tajiri tayari ndiyo uanze kujifunza kuwa na fedha …
Kuwa Makini Na Kitu Hiki
Na kile unachokiwaza sana. Kwa nini?Kwa sababu kile unachokiwaza au kukifikiria sana huwa kinakuja katika uhalisia wa kawaida. Mawazo yako huwa yanaumba kile unachotaka kwenye maisha yako. Kama unakitaka kitu, kifikirie sana kile kitu na utashangaa kinatokea. Akili zetu ni kama sumaku huwa zinavuta kile tunachokifikiria muda mwingi. Usipoteze nguvu zako kuwaza kitu ambacho hukitaki. …
Hakuna Kilichokamilika
Kifupi rafiki yangu, hakuna kitu chochote kile ambacho kimefikia ukamilifu ambao hakiwezi tena kuboreshwa. Kila kitu kinaweza kikaboroshwa na kuwa bora zaidi. Hata hapo uliposema kuwa umefikia ukomo, unaweza ukaenda hatua ya ziada tena. Hakuna kazi ya sanaa iliyokamilika, unaweza ukaiboresha kila siku na ukapata matokeo bora. Kiasili kila kitu ni kazi endelevu, ambayo unaendelea …
Hakuna Mahusiano Yaliyokamilika
Jinsi Ya Kuwa Mwanahistoria Mzuri Wa Maisha Yako
Watu wengi wanaishi kienyeji, hawana utamaduni wa kuandika kumbukumbu zao. Mali bila daftari hupotea bila kujua. Ili uweze kuwa Mwanahistoria mzuri wa maisha yako, weka kumbukumbu sahihi. (Keeping accurate records) Watu hawaweki kumbukumbu, ukitaka kuwakamata watu watake wakupe rekodi mbalimbali wanazoweka. Kwa mfano, muulize mtu mwambie naomba kujua rekodi ya mauzo yako katika biashara atakuambia …
Continue reading "Jinsi Ya Kuwa Mwanahistoria Mzuri Wa Maisha Yako"
Ung’ang’anizi Unalipa
Uwezo Ni Kama Ukweli
Huwa tunafikiri kuwa tunaweza kufunika uwezo wa mtu binafsi. Ni ngumu sana kufanya hivyo, kazi nzuri huwa inaongea yenyewe. Hata kama unampiga vita mwenzako kwa thamani kubwa aliyokuwa nayo, utakayeendelea kuumia ni wewe mwenyewe. Kwa sababu, mtu kama anajua anajua tu, na mtu anayejua lazima afanye vizuri. Ifikie mahali ukubali kuwa mwenzako amekuzidi sehemu fulani. …