Leo tunahitimisha juma la 46 katika mwaka 2021. Zimebakia siku 48 tu kumaliza mwaka 2021. Najua ndani ya juma hili umekutana na mengi na umejifunza mengi pia. Hivyo basi, nami napenda kukushirikisha sentensi mbili tu zitakazobadili maisha yako. Ukichanganya na yale uliyojifunza na haya unayokwenda kujifunza sasa unakwenda kuwa na mwisho mzuri kabisa wa juma …
Continue reading "Sentensi Mbili Zitakazobadili Maisha Yako"