Mara nyingi watu huwa wanauza kile walichonacho kwa lugha rahisi tunaweza kusema watu wanajaribu kutoa kile ambacho tayari kipo ndani yao. Usiumie na wale wanaokufanyia mabaya badala yake waonee huruma. Kwa sababu watu wanatoa kile ambacho kipo ndani yao. Kwa mfano, ukiona mtu anakupa upendo jua upendo ndiyo upo ndani yake. Ukiona anakuuzia chuki jua …
Continue reading "Hiki Ndicho Kitu Ambacho Watu Wengi Wanakitoa Kwa Wengine"