Katika kitabu cha Dedicated kilichoandikwa na mwanajeshi Pete Davis, mwandishi anaelezea ni kwa jinsi gani jamii yetu imeipa uzito mkubwa fedha kuliko vitu na watu. Fedha imekuwa ni kitu ambacho kinatukuzwa sana zama hizi. Mwandishi anasema, kipindi cha nyuma kulikuwa na mpaka ulio wazi kati ya fedha na jamii. Na ilijulikana wazi ni vitu gani …
Continue reading "Kitu Ambacho Kinatukuzwa Sana Katika Zama Hizi"