Punje ya mhindi,Ina nguvu kubwa sana kama ikiwekwa katika mazingira sahihi. Ukikaa nayo ndani itabaki kama ilivyo. Lakini punje ya mhindi ukiiweka katika ardhi itakuletea maajabu. Hapa tunajifunza nini? Chochote kile kama ukikitumia vizuri lazima kikuletee matokeo. Na chochote kile kama ukitumia ndivyo sivyo lazima kikuletee matokeo ambayo siyo sahihi. Tunajifunza kwamba, ndani yetu kuna …
Usikubali Majuto Haya Yakukute
Kwenye maisha kuna majuto ya aina mbili, Moja majuto ya kufanya kitu. Mbili, majuto ya kutokufanya kitu. Majuto mabaya sana ni majuto ya kutokufanya. Ni bora ufanye hata baadaye mambo yakienda tofauti basi utasema KWELI, nimeshindwa lakini nimefanya.Kazi yako wewe ni kufanya. Kazi yako wewe ni kujaribu. Kazi yako wewe ni kushusha nyavu chini. Kwa …
Jinsi Ya Kupiga Hatua Mpya
Kwenye jambo lolote lile, huwa tunajenga tabia na kisha tabia zinatujenga. Na ili tupige hatua mpya lazima tujenge kwanza tabia mpya. Bila tabia mpya hakuna hatua mpya. Swali la kujiuliza, tabia ulizonazo sasa zinaendana na hatua unazopiga? Ukiona tabia na hatua unazopiga haziendani, unachotakiwa kufanya ni kujenga tabia mpya na hatua mpya. Unaweza kufanya kitu …
Ukishindwa Kufanya Kitu Ambacho Kipo ndani Ya Uwezo Wako
Ukishindwa kufanya kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako huo ni uvivu na uzembe.Watu huwa hawapendi kuambiwa maneno makali kama vile wewe ni mvivu au mzembe. Kama hupendi kuambiwa hayo maneno basi fanya kazi na kuwa makini.Pale unapojikuta katika hali ya kutokufanya kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako jikamate mwenyewe na jiambie kwamba wewe …
Continue reading "Ukishindwa Kufanya Kitu Ambacho Kipo ndani Ya Uwezo Wako"
Hivi Ndivyo unavyokuwa Mbinafsi Kwa Watoto Wako
Utamaduni tulioukuta katika jamii zetu ndiyo unaofanya watu waendelee kuishi maisha ya umasikini.Ulishawahi kumuona watu wa jamii ya kihindi wanaajiriwa? Zaidi ya wao kuajiri? Ulishawahi kuona wakipambana kutafuta kazi huku wakitembea na bahasha? Kuajiriwa siyo kitu kibaya ni kitu kizuri kwa sababu kuna mengi ya kujifunza na kujenga mtandao na watu wengi. Unawasomesha watoto, halafu …
Continue reading "Hivi Ndivyo unavyokuwa Mbinafsi Kwa Watoto Wako"
Damu Na Jasho
Kuna vitu viwili kwenye maisha yako, damu na jasho.Wakati wa mazoezi ndiyo unatakiwa kutokwa na jaso jingi ili usitokwe na damu nyingi wakati wa vita.Kadiri unavyojituma kujiandaa na maandilizi ya kitu fulani kabla ya kutokea ndivyo unavyokuwa bora.Una machaguo mawili, ujitume sasa hivi ili baadaye usiteseke au usijitume sasa hivi ili baadaye uwe na maisha …
Umezaliwa Kuishi
Kitu kimoja muhimu unachopaswa kujua ni kwamba binadamu UMEZALIWA KUISHI. Na siyo kujiandaa kuishi. Duniani hujaja kujiandaa bali umekuja kuishi. Hivyo unapaswa kuishi maisha yako. Hupaswi kusema mpaka nikiwa na kitu fulani ndiyo nitaishi, ila unatakiwa kuishi.Usisubiri mpaka mambo yawe sawa ndiyo uishi bali ishi kwa kile ulichonacho tu. Watu wengi wanapoteza muda wao mwingi …
Biashara Haina Huruma
Watu wengi wanafanya biashara kwa mazoea na matokeo yake mazoea yanawapiga. Kwenye biashara, hakuna mtu ambaye yuko juu ya biashara. Hivyo kila mtu anapaswa kuiheshimu biashara hata kama ni yako. Kutumia fedha za biashara kwa matumizi binafsi. Baadaye biashara inakuja kufa kwa sababu ya kutawanya nguvu. Ukiwa na biashara unapaswa kutenganisha kati ya matumizi binafsi …
Wateja Wengi Hawapendi Hiki Kitu
Wateja wanapenda kununua na siyo kuuziwa. Hii ina maana gani? Kuuziwa ni pale ambapo unataka kumuuzia kitu mteja bila kumuonesha thamani. Ni pale unapokuwa na kitu unamuomba mteja akuungishe. Tunasahau kwamba wateja hawanunui kwa kukuonea huruma, bali wateja wananunua kwa sababu zao binafsi. Kwani wewe vitu ulivyonunua jana ulinunua kwa sababu ya mteja au kwa …
Ukitaka Kujua Kama Unaenda Mbele Au Unarudi Nyuma Kifedha
Maisha ni namba.Chochote ambacho hakipimwi hakikui. Na maisha ambayo hayatathiminiwi ni maisha ambayo hayana maana kuishi. Ni kazi kujua kama unaenda mbele au unarudi nyuma kifedha kama hujipimi. Ili uweze kujua kama unaenda mbele au unarudi nyuma kifedha unatakiwa kujipima kinamna hii. Moja andika kila fedha unayopata kila siku, halafu mwisho wa siku, wiki na …
Continue reading "Ukitaka Kujua Kama Unaenda Mbele Au Unarudi Nyuma Kifedha"