Fedha ni muhimu katika maisha yetu hilo halina ubishi. Karibu kila kitu katika maisha kinaendeshwa na fedha. Anayesema fedha siyo muhimu huyo ndiyo yule ambaye analala anafikiria kesho atapata wapi hela ya kula. Ukiwa huna hela ukapata hela basi utakua na furaha na hapo ndipo utaweza kujua kama watu wengi wameweka furaha zao katika pesa. …
Continue reading “Njia Rahisi Ya Kujijua Kama Bado Hauna Uhuru Wa Kifedha”