Mfalme suleimani aliomba hekima tu lakini Mungu akampa vyote, kupitia hekima tunaweza kupata yote lakini ukikosa hekima umekosa maisha na matokeo utaona dunia ni chungu kwako. Hekima inatumika kile eneo la maisha yetu hivyo tunapokuwa na hekima tunaweza kutawala mambo yetu. Unaweza kuwa na kitu fulani lakini ukakosa hekima ya kukitumia kile kitu, je ukijiuliza …
Category Archives: Uncategorized
Hii Ndiyo Siku Inayoonewa Na Kubebeshwa Mizigo Na Watu Wengi
Tunapochelewa kufanya maamuzi huwa mara nyingi tunakuja kupata hasara baadaye, watu wengi wameshazoea kutumia msemo huu laiti ningelijua ningelifanya yale maamuzi mapema na kwa sasa hivi ningekuwa mbali. Kila mmoja wetu hapa kuna mahali alishawahi kuchelewa kufanya maamuzi hivyo kilichofuata ni majuto tu. Hauna haja sasa ya kuendelea na kukumbuka nay ale makosa uliyofanya kwa …
Continue reading “Hii Ndiyo Siku Inayoonewa Na Kubebeshwa Mizigo Na Watu Wengi”
Ukiambatana Na Huyu Lazima Utakua Mshindi Tu
Habari gani mpendwa rafiki? Mtoto mmoja alizaliwa msituni katika nchi fulani, baada ya mzazi wake kukimbia makazi na familia yake kwa sababu ya vita. Hivyo ilivyotokea mlipuko wa bomu kule msituni yule mama alikimbia na kuondoka na watoto wakubwa na kumuacha yule mtoto mdogo kule msituni. Mtoto yule alikuwa ni mchanga sana kwani alikuwa na …
Continue reading “Ukiambatana Na Huyu Lazima Utakua Mshindi Tu”
Chochote Tunachokitafuta Katika Maisha Yetu Kipo Hapa
Habari gani rafiki? Natumaini unaendelea vizuri sana. leo ni siku nyingine bora nay a kipekee sana kwetu, hakika sisi ni washindi na tumezaliwa kushinda ndiyo maana hata leo tunaendelea kuvuta pumzi. Kila mtu mmoja wetu kuna kitu anachotafuta hapa duniani je kile tunachokitafuta kinatoka wapi sasa? Chochote ambacho tunakitafuta yawe ni mafanikio au yawe ni …
Continue reading “Chochote Tunachokitafuta Katika Maisha Yetu Kipo Hapa”
Zawadi Muhimu Ya Kumpatia Mtu Aliyekuamini
Mpendwa rafiki? Kama ni sehemu ambayo mtu unatakiwa kumuonesha kuwa unaweza ni pale anapoamua kufanya maamuzi umfanyie kitu fulani. Sehemu ya kujiuza ni pale mtu anapoamua kukukabizi kazi yako kwa sababu tu amekuamini, ameacha watu wote na kuja kwako hivyo ni nafasi ya kipekee na wewe kumtendea haki. Watu wakikuamini hutakiwi kufanya kosa unatakiwa kufanya …
Continue reading “Zawadi Muhimu Ya Kumpatia Mtu Aliyekuamini”
Kama Unataka Watu Wakupende Fanya Kitu Hiki Kimoja Tu
Tunaishi kadiri ya sheria ya asili hapa duniani. Unapokea kile unachotoa kwa wengine hivyo usitegemee kupokea kama hakuna unachotoa chochote. Tunapenda watu watufanyie vile tunavyotaka lakini sisi hatutaki kujifanyia sisi wenyewe vile tunavyotaka kufanyiwa. Hakuna mtu atakayeweza kuvutiwa na maisha yako kama wewe mwenyewe huyapendi na kuyajali maisha yako. unaweza ukamkuta mtu anakujali au kukupenda …
Continue reading “Kama Unataka Watu Wakupende Fanya Kitu Hiki Kimoja Tu”
Chezea Vitu Vyote Kutoka Kwa Mtu Lakini Usichezee Kitu Hiki
Habari ya leo rafiki na mpendwa msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko vizuri na leo ni siku bora sana kwetu kwenda kufanya kile tulichopanga kufanya na kutegemea kupata matokeo bora sana. Kila mmoja wetu kula kile anachoamini kadiri ya imani yake. Mimi nina imani yangu na wewe unaimani yako. licha ya kila mtu …
Continue reading “Chezea Vitu Vyote Kutoka Kwa Mtu Lakini Usichezee Kitu Hiki”
Hii Ndiyo Biashara Kichaa Inayowaumiza Watu Wengi
Rafiki, kabla ya kuja kwa ajira watu walikuwa wanajitegemea wao wenyewe kwa kujifanyia shughuli zao kama vile kufanya biashara au kulima ili waweze kupata kipato. Tokea ajira au mfumo wa ajira uanzishwe mpaka sasa unazaidi ya miaka mia mbili lakini kabla ya hapo watu walikuwa wanaendesha maisha kawaida tu bila hata kutegemea ajira. Mapinduzi ya …
Continue reading “Hii Ndiyo Biashara Kichaa Inayowaumiza Watu Wengi”
Njia Ya Kuwazuia Watu Kuongea Juu Ya Maisha Yako
Kitu ambacho huwezi kukizuia ni kuwazuia watu kuongea. Hata ufanye kitu gani kizuri lazima tu watu wataongea ndiyo maana hakuna kazi ngumu kama ya kumfurahisha kila mtu hapa duniani. Mtu pekee ambaye unaweza kumfurahisha basi ni wewe mwenye. Binadamu ni viumbe vya hisia na kila mmoja ana matatizo yake hivyo basi unachotakiwa kufanya popote pale …
Continue reading “Njia Ya Kuwazuia Watu Kuongea Juu Ya Maisha Yako”
Uaminifu Wa Kwanza Unaopaswa Kuwa nao
Kuna mambo ambayo ukifanya unakuwa unajipunguzia heshima sana katika maisha yako. Mara nyingi watu wanajipunguzia heshima na kuonekana siyo watu makini kwenye kitu kimoja. Mtu yeyote anayekuwa mwaminifu katika kitu hicho huwa anaonekana amestarabika sana lakini katika jamii yetu ni watu adimu sana kuwapata. Watu huwa wanalalamika sana pale wanapokuwa wanakwenda sehemu na kukuta watu …