Mpendwa rafiki, Wiki hii nilikuwa najitafakarisha mwenyewe baada ya kusoma makala ya mwandishi mwenzangu Makirita Amani aliyoandika kwamba watu wanakosea sana kujiambia kauli mbaya katika fedha na matokeo yake huwa inawanyima au kuwawekea ukuta wa kutopata fedha zaidi. Kauli ya kusema natafuta fedha imekuwa ikiwanyimwa watu wengi sana kupata fedha. Utawasikia watu wengi tu bwana …
Category Archives: Uncategorized
Huu Ndiyo Uwezo Mkubwa Wa Kila Kiongozi Anaopaswa Kuwa Nao
Linapokuja suala la uongozi watu wanaanza kufikiria viongozi wengine badala ya kuanza kujifikiria kwanza yeye kama kiongozi. Kila mtu ni kiongozi hata kama huna unaao waongoza lakini si unajiongoza mwenyewe. Uongozi umetawala kila sehemu ya maisha yetu kuanzia ngazi ya familia mpaka ngazi ya taifa. Kama uko hai huwezi kukwepa kuongoza au kuongozwa kwa sababu …
Continue reading “Huu Ndiyo Uwezo Mkubwa Wa Kila Kiongozi Anaopaswa Kuwa Nao”
Haya Ndiyo Makosa Makubwa Tunayofanya Kwenye Maisha Yetu
Kuna ule wimbo ambao kila mmoja wetu anapenda kumwimbia mwenzake au yeye mwenyewe pale tu anapoona mambo yamekwenda ndivyo sivyo. Wimbo wenyewe siyo mwingine bali ni shukuru kwa kila jambo. Lakini watu wengi wamekuwa wanautumia ndivyo sivyo huu msemo kwa kushukuru tu mambo mazuri lakini mabaya hapana. Rafiki, binadamu tumekuwa ni watu waliokosa shukrani na …
Continue reading “Haya Ndiyo Makosa Makubwa Tunayofanya Kwenye Maisha Yetu”
Kauli Mbaya Ya Kujiambia Kwa Mwanamafanikio Yeyote Yule
Mpendwa msomaji,Mtu aliyekataa tamaa na maisha ni mtu hatari sana. Hana tofauti na mtu anayetembea na dumu la petrol kwani muda wote anaweza akakulipua. Watu ambao unapaswa kukaa nao mbali kabisa ni watu ambao wamekatamaa ya maisha na wale ambao hawajipendi. Kuna wengine mpaka wanaamua kukufuru uumbaji wa Mungu wanasema ni bora wangezaliwa mbwa ulaya. …
Continue reading “Kauli Mbaya Ya Kujiambia Kwa Mwanamafanikio Yeyote Yule”
Usikimbizane Na Kitu Hiki Utakuwa Mtumwa
Kuna kipindi huwa ni kipindi cha kujenga maisha yaani kama ni nyumba basi unakuwa unajenga msingi. Vivyo hivyo hata katika maisha yetu kuna muda ni wa kutafuta na kuna muda wa kuvuna au kutumia. Karne hii ya ishirini na moja kumekuwa na uteja, uraibu wa aina nyingi, ukiacha wa mitandao ya kijamii basi kitu kingine …
Hawa Ndiyo Watu Wanaofurahia Maisha Hapa Duniani
Maisha ni furaha na wala siyo kuvumilia. Tumezaliwa kufurahia maisha na siyo kuvumilia maisha. Unaishi mara moja tu hapa duniani kama unashindwa kufurahia sasa usitegemee kama utakua na kipindi cha pili kama vile mpira wa miguu. Rafiki,Kuwa na furaha ni uamuzi wa mtu kuchagua na wala siyo kwenda kununua dukani. Ni kitu ambacho kipo ndani …
Continue reading “Hawa Ndiyo Watu Wanaofurahia Maisha Hapa Duniani”
Njia Adimu Ya Kuongeza Mahusiano Imara Na Mwenzi Wako Wa Ndoa
Mpendwa rafiki, Huwa nasisitiza sana kusoma vitabu kwani kusoma vitabu kuna faida kubwa kwenye kila eneo la maisha yetu. Hata nikisema nikuandike faida za kusoma Vitabu itakuwa ni litania ndefu yaani orodha ndefu. kitu pekee ambacho ningeweza kukushauri kama hujui faida za kusoma vitabu basi anza kusoma vitabu utaona faida utakazozipata. Kama uko kwenye magrupu …
Continue reading “Njia Adimu Ya Kuongeza Mahusiano Imara Na Mwenzi Wako Wa Ndoa”
Kitu Ambacho Hakitokusaidia Kwenye Maisha Yako
Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunaamliwa kila kitu katika maisha yetu. Tulikuwa tunafanyiwa maamuzi kadiri ya wazazi au walezi wetu. Na tulikuwa hatuna ubishi wa kukataa kwa sababu tulikuwa ni wadogo hatuna budi kukubali kwa wakati huo. Wazazi ndiyo chanzo cha maisha yetu hapa duniani. Hakuna mtu hata mmoja aliwahi kuandika barua ya kuomba kuzaliwa je wewe …
Continue reading “Kitu Ambacho Hakitokusaidia Kwenye Maisha Yako”
Vitu Vyote Vina Ukomo Lakini Hiki Hakina Ukomo
Mpendwa rafiki, Kwenye kitu chochote unachokifanya bado kuna nafasi ya wewe kuwa bora zaidi ya hapo ulipo. Maisha yetu ni kama sanaa tunaweza kuyapamba kadiri tuwezavyo sisi. Maisha yana ukomo wake, kila mtu ana ukomo wake hapa duniani. Waswahili wanasema hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Kumbe kila kitu kina mwisho wake. Kama unapitia wakati mgumu …
Continue reading “Vitu Vyote Vina Ukomo Lakini Hiki Hakina Ukomo”
Kama Huna Furaha Anza Na Kitu Hiki Moja Tu Na Utakua Na Furaha
Habari ya leo mpendwa rafiki? Hongera kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo uliyoipata hakika ni zawadi ya upendeleo na hakuna zawadi kama zawadi ya maisha hapa duniani kwa sababu mipango yetu yote tunayotaka kuikamilisha iko ndani ya zawadi ya maisha. Ukikosa zawadi ya maisha umekosa vyote hivyo kama umestahilishwa kuendelea kuishi basi ishi …
Continue reading “Kama Huna Furaha Anza Na Kitu Hiki Moja Tu Na Utakua Na Furaha”