Tumeshazoea kuwa tukitaka kununua kitu fulani ndiyo tunalipia lakini ukijaribu kuangalia kwa jicho la tatu kila kitu hapa duniani unalipia. Kila kitu kina bei yake hata kama hutoi fedha moja kwa moja lakini kuna gharama unalipia kwa kujua au kutokujua. Ukitaka kuwa na afya bora kuna gharama yake hivyo lazima ukubali kulipia bili au bei …
Continue reading “Hii Ndiyo Gharama Sahihi Unayopaswa Kulipia Kwenye mipango Yako”