Mpendwa rafiki, Unaweza ukaamka ukainza siku yako vizuri kabisa lakini kikaja kitu kidogo kikakuharibia asubuhi yako na ukaiona siku mbaya. Lakini kama mwanafalsafa hutakiwi kuyumbishwa na kitu chochote kile hata kama unamepata changamoto gani bali unatakiwa ubaki katika hali yako bila kutaharuki. Hakuna anayeifanya siku yako iwe mbaya au nzuri bali wewe mwenyewe ndiyo unaamua …
Continue reading “Usikubali Kitu Hiki Kikuharibie Utulivu Wako Wa Akili”