Mpendwa rafiki, Wengi wanaishi katika ndoto ambazo siyo zao. Wengine wamekuwa katika fani ambazo wamesomea kwa sababu ya shindikizo labda kutoka kwa mzazi au mwingine alikwenda kusomea kozi fulani chuo kikuu kwa sababu ya kupata mkopo ili aweze kusoma. Wengi wako uchi kwa sababu wanaishi tofauti na kile walichokipenda. Huenda hata wengine wameingia katika maisha …
Continue reading “Haya Ndiyo Matokeo Ya Wale Walioshindwa Kujenga Ndoto Zao”