Kuchukua hatua ya kwanza ni kama kuondoa laana lakini kuna ngumu nyingine ambayo tunayo lakini tusipoisema ndiyo inakuwa imeshikilia nguvu yetu. Hivyo tukikosa hiyo nguvu tunakuwa tumekosa kufanikisha mambo yetu mengi, kila mmoja wetu ana nguvu ndani hivyo tukiitumia hiyo nguvu huwa inatusaidia kuondoa kila aina ya hofu. Tukiwa na nguvu inatupa uwezo wa kujiamini …
Continue reading “Hatua Ya Kwanza Unayopaswa Kufanya Katika Mambo Yako Yote”